Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso
Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne
Waziri kweli unapokea mshahara
Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa
Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much
Hakuna...
Sina maneno mengi.
Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo
Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6.
Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir.
Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure......
UTANGULIZI
Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji
1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia)
2...
Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati.
JeLa ni mahala panapozima Furaha na Matumaini ya Mwanadamu hata wale Wategemezi wake au Maisha yake...
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa.
Tukutane #D9
SAA ZA KISASA ZA CASIO ORIGINAL!
Ongeza mvuto na hadhi yako kwa saa bora kutoka CASIO — muundo wa kisasa unaofaa kwa kila mavazi!
Sifa Kuu:
Ubora wa hali ya juu
Muundo wa kisasa (square design)
Rangi zinazopatikana: Black | Rose Gold | Gold
Battery imara (CR2025)
Water Resistant (WR)...
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo
Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda.
Ila big alikuwa picaso wa kudeliver sanaa ya kufoka foka iwe katika mpangilio na ubunifu wa kuteka sikio lako...
Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21).
Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi.
* Nyumba ya kisasa
*Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2
Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini.
Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
Wakuu..
Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules)
Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum
Naomba msaada kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.