BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Huniambii kitu, Buza labda niweke mifugo yangu na kijana wa kuisomamia. Mwanaume mzima utaishije Buza??View attachment 3602478Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
Yombo Buza siyo uswazi mjini tu.Mkuu, picha yako inaonyesha reli ya TAZARA, na leeway yake (eneo la reli) sio Buza. Umekosea kuweka picha?