nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023 @AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya...
  2. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kigali ni uwanja wa nyumbani kwa Yanga kama ulivyo uwanja wa Majimaji

    Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Kanali wa jeshi la Urusi apigwa bomu na drone ya Ukraine akiwa kwake nyumbani, Urusi

    Sasa wanaanza kufuatwa manyumbani, alikua anafyeka nyasi kwake kashushiwa mzigo...... Salamu ziwafikie viongozi wa jeshi la Urusi popote walipo, wanafahamika wanakoishi na mitoko yao ya kila siku, na kuna drones za Ukraine zipo angani zinajipigia popote Urusi hadi hata ikulu. News World News...
  7. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi za nyumbani anahitajika

    Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam. Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye. Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto. Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo. Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Habarini wakuu, Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada. Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara. Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

    Naona Mheshimiwa Rais wa JMT ameamua kumrudisha nyumbani Mwanasiasa nguli Emmanuel Nchimbi. Nahisi kuna mabadiliko ya Baraza la Mawaziri siku si nyingi. Kama sio hivyo nahisi kuna mabadiliko yanakuja chamani CCM. Nimtakie kila la kheri Komredi Emmanuel Nchimbi. Mwanasiasa wa kimkakati.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nauza paka wa nyumbani

    Nauza paka (Felis catus) ana mwezi 1-3, elfu tatu 10,000/= njoo umchukue Location: Kigamboni Piga: 0759448927
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa uhuru haufai kwa Simba kuufanya uwanja wa nyumbani. Tafuteni uwanja mwingine hata mkoani

    Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi. Tafuteni uwanja hata mikoani, kama Mandela Stadium rukwa na shinyanga au Kirumba Mwanza hapo uhuru...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ghana: Waziri ashikiliwa baada ya kuripoti kuibiwa Tsh. Bilioni 3 nyumbani kwake

    Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinahusishwa na rushwa. Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.4), Euro...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uharibifu wa Taifa huanzia nyumbani kwa Watu wake

    Uharibifu Wa Taifa Huanzia Nyumbani Kwa Watu Wake Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua jinsi msemo wa wahenga “uharibifu wa taifa huanzia nyumbani kwa watu wake” unavyoakisi hali ya sasa ya nchi yetu? Msemo huu ni usemi wenye kufupisha ujumbe au hekima fulani. Ina maana kwamba matatizo ya...
  16. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako

    Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso. Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu. Hizi hadithi za...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

    Wana Jamii, Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640. Bei zetu; 50pcs : 175,000/- 100pcs: 350,000/- 500pc : 2m 1000pcs : 3.5m Wateja wa mikoani tunatuma sema watajilipia usafiri. Kwa dar es...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

    Wana Jamii, Tunauza vyomba vya nyumbani Bei za jumla na rejareja. Kwa yeyote anayetaka kuanzisha biashara Kwa Bei nafuu awasiliane nasi namba 0719-756640. Bei zetu; 50pcs : 190,000/- 100pcs: 350,000/- 500pc : 2m 1000pcs : 3.5m Wateja wa mikoani tunatuma sema watajilipia usafiri. Kwa dar es...
Back
Top Bottom