nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

    .
  2. Execute

    JamiiForums Tanzania Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
  3. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

    Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
  4. The Fishport Prince

    JamiiForums Tanzania Nimeanzisha utaratibu wa kufanya kazi za nyumbani: Kufua, kuosha, vyombo, kupika etc

    Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara. Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini. Leo niliamka saa kumi na moja...
  5. Rayns

    JamiiForums Tanzania Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

    5
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul. Kaandika hivi: "Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    Habari Wadau. Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka. Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani. Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando. Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone. Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wydad wachapika nyumbani 1-0, wamepigwa na Jwaneng Galaxy ambao watacheza na Simba

    Msimamo ulivyo baada ya mechi za kwanza kwa timu zote za Group B
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi linachangia timu zetu kukosa matokeo mazuri viwanjani ,polisi mnawasaidia wageni kutamba nyumbani

    Polisi wetu kila mahali wao wanaleta upolisi mimi huwa nachukia sana ! Timu zetu zinakwenda kucheza nje ya nchi ,zikifika zinakutana na balaa la mashabiki ,, kulipua mafataki wakati mechi inaendelea,moshi kujaa uwanjani,kuwasha miale ya kila rangi ,nk ,si fifa wala caf waliowahi kusema kufanya...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

    Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mkiona mgonjwa wenu hawezi kupona, mrudisheni akafie nyumbani. Akipelekwa tu Mortuary mtadaiwa mamilioni msiyoyaweza

    Nchi hii imekuwa ya hovyo sana, huduma za afya na matibabu zimekuwa mbovu na duni kabisa. Kila siku tunasikia sehemu mbalimbali watu wakifa kwa uzembe wa madaktari na manesi. Mbaya zaidi mgonjwa akifa haraka haraka anakimbizwa mortuary ambako kama hamna mamilioni kadhaa, ndugu yenu atazìkwa na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

    Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala. Tofauti ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wafanya kikao cha siri nyumbani kwa Mbowe

    Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo. Je, kikao hiki kinahusu nini? Kwanini kifanyike bila katibu Mkuu wala viongozi wengine waandamizi? Je, Tundu Lissu kupitia...
  14. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Dada uzuri wako usiulete nyumbani kwako, utaachika

    Dada Yangu, Ni kweli wewe ni mzuri sana wa sura, tumekubali. Ni kweli mwonekano wako na shepu lako linaweza kumvutia kila mwanaume rijali, hili pia tumekubali. Ni kweli umesoma sana, elimu nzuri na sasa kimtindo kama umejipata hivi!! Aisee!! tumekubali. Ni kweli umetoka kwenye familia bora...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania mkisafiri kwenda mikoani december hakikisheni mmeacha na wosia nyumbani ...

    si nawatisha ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Asec ni Muhimu mno kwa simba na ni Nyumbani. Hakuna kocha mwingine kuipeleka timu zaidi ya Mgunda

    Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo. Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji. Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba...
  17. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Muda wa watoto kurudi nyumbani umewadia

    Salaam wanajamii forums Ninawaona watoto wetu wameanza kukunja nguo wanarudi kijijini kwa wazazi kutusalimu Hawaji kwa sababu wanatupenda wanakuja tuwatemee mate na kuwapa baraka za kimila warudi mjini wakatanue maisha yao Kama kawaida hawaji kwasababu wametukumbuka sana hapana uko mjini muda...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania 5-1 uwanja wa nyumbani ni fedheha au dharau

    Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa mipango, mafunzo, uhusianao mwema na mbinu za mwalimu wa soka kwa timu husika. Viongozi wa vilabu...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani nyumbani kukawa na betri zinazochajiwa na umeme wa TANESCO na zikatumika wakati umeme unakatika katika?

    Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena. Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo...
Back
Top Bottom