nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano: HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao. HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi. Kauli ya wengi ni kauli Mungu. Aluta continua!
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu akimbia nyumbani kwake. Ahamia kwa rafiki yake kwenye handaki la nyuklia kuhofia usalama wake

    Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la kujilinda na nyuklia. Maamuzi hayo ameyafanya kuhofia wananchi wake wenye hasira kwa jinsi...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania ( Uzalendo)Nimekataa mshahara wa milioni 50 kwa mwezi ili nirudi nyumbani Tanzania

    Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

    Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
  5. Adolfms

    JamiiForums Tanzania Msaada: vitabu vinavotumika na VETA Kufundishia umeme wa majumbani

    Naomba sana ambaye anaweza kunisaidia vitabu vinavotumika na VETA Kufundishia umeme wa majumbani level ndogo kwenda kubwa.
  6. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Unaisubiri paradiso ishushwe? Unachelewa, tengeneza paradiso nyumbani

    Hivi paradiso italetwa? Au tutaileteleza wenyewe hapa duniani? Watu wenye kusali hutusisitizia kila mara kwamba paradiso ni mahala pazuri saana 😍 Ni mahali ambapo kuna miti na maua mazuri ya kupendeza 💐🌺🌸🎄🍀🎋🪻🌹 Kuna wanyama wazuri wasioumana wala kuumauma watu ovyo 🐇🐎🦒🐆🦓🐶🦆🦚🦜 Yaani ni...
  7. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bodyguard wa Taylor Swift arudi nyumbani Israel kuipigania nchi yake

    Eran alikuwa aki serve kama bodyguard wa Swift katika tour yake ya kimuziki iitwayo Eras. Viva Israel, Viva nchi ya ahadi. ============= Taylor Swift‘s security guard who protected her during The Eras Tour has gone back to his home in Israel to fight against Hamas, according to Israel...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Rais Biden amehojiwa kuhusiana na faili za siri zilizopatikana nyumbani kwake na ofisini

    Rais Joe Biden kwa muda wa siku mbili zilizopita alishiriki katika mahojiano ya hiari na wakili maalum Robert Hur kama sehemu ya uchunguzi wake wa nyaraka za siri, Ikulu ya White House ilitangaza Jumatatu. "Rais amehojiwa kama sehemu ya uchunguzi unaoongozwa na Wakili Maalum Robert Hur,"...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje katikati ya nchi za Kiarabu pawe nyumbani pa Wazungu?

    Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel. Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu. Hawa Waisrael wazungu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  14. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutumia muda gani kurejea nyumbani baada ya kwenda kutafuta maisha?

    Wanasema Mafanikio ni Mchakato. Ni mchakato unaochukuwa muda mrefu. Now days imekuwa ni moja ya changamoto kwenye jamii na Familia zetu. Watu wanapoenda kutafuta masha wanashindwa kurejea Nyumbani hata kwenye matukio ya ulazima kama vile "Misiba" "Sherehe" na hata mambo mengine kama vile...
  15. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi hakurejea Nyumbani

    Wakuu Mambo mengi muda ni mchache Mnamo August 11 tulielezwa na vyombo rasmi kwamba Rais Samia amemteua Balozi meja Jenerali Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri. Taarifa iliongeza kuwa Meja Jenerali anachukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye anarejea nyumban. Sasa naomba kujua...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwalimu wa kujitolea mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia mtu mmoja (23) mkazi wa kijiji cha Mkalapa kata ya Chikundi ambaye ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Msingi Mkalapa kwa tuhuma za kumbaka binti (14) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Nimeona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu Waziri Mkuu ikitengenezwa kwa kasi maeneo ya Musabe

    Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
Back
Top Bottom