nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini

    Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali. Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa. Asante sana wazungu kwa uwajibikaji. Kuhusu ndege kukamatwa soma Serikali yakiri Ndege yake kushikiliwa Uholanzi, sababu ni kushindwa kesi...
  2. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania NMB wafungua tawi Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais

    Benki ya NMB yazindua tawi jipya Buhigwe nyumbani kwa Makamu wa Rais Philip Mpango. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo ameipa Benki ya NMB baraka zake na kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma na kuipongeza kwa uthubutu na kuwafuata Wananchi...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Changamoto la Wagner waliorudi nyumbani, wengine wanabaka watoto, hawaachi asili yao

    Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka watoto wadogo wa hata umri wa miaka 10, Urusi inapitisha sheria ya kuwahasi.... One brutal alleged...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliondoka nyumbani kwenu kwenda kujipangia na hali ilikuwaje?

    Nilipanga geto lakini sikulala karibu wiki toka nilipie kodi, kipindi nimemaliza form 4 tayari nilikuwaga najua kunyoa maana likizo za nyuma nilikuwa nashinda sana kwa mjomba alikuwa kinyozi basi hata shuleni mimi nilikuwa kinyozi wa shule. nilipomaliza four nikiwa nasubiri form 5 niliweza...
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kama tukifuga wale mijusi weupe nyumbani tunaweza kuondokana na tatizo la mbu

    Aisee hii mijusi ni msaada sana kwenye ulaji wa mbu, na kimsingi wanasaidia kupunguza idadi ya mbu nyumbani. Sasa hivi home nina mijusi 100, huwa sihangaiki kupiga dawa siku hizi. Mambo yanaenda naturally.
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Graduate, Umekaa tu bure nyumbani na unataka ule milo mitatu?

    We kijana uliyesoma soma huko, kuna sera mpya inakuja haiwezekani ule milo mitatu hivi hivi wakati huna kazi yoyote unayofanya hapo nyumbani Halafu ukute anayekulisha amekubali kuteseka na kazi ya laki na nusu kwa mwezi... amka upambane tukutane mezani Jioni tu Milo mitatu ni kwa watoto wadogo
  10. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Erasto Mpemba: Mwanasayansi aliyefariki bila kuthaminika nyumbani Tanzania

    Erasto Bartholomeo Mpemba (1944 - 2023) alikuwa mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba (kwa Kiingereza Mpemba effect). Jina hili linaeleza tabia ya maji kuganda kwa haraka zaidi yakiwa ya moto kuliko maji ya baridi...
  12. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tulioalikwa nyumbani kwa balozi wa Italy kushehererekae uhuru wa 🇮🇹 kesho tukutane hapa.

    Nadhani tukikutana mapema jukwaani tutaweza kufanya maandalizi ya pamoja, tukae meza moja kama JamiiForums, tubadilishane mawazo, uzoefu nk. Niko hapa
  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  16. deals smart hapa

    JamiiForums Tanzania Tunakuletea Kamera kibunifu ya Balbu ya CCTV - ongeza Usalama Wako wa Nyumbani! 🏠💡📷

    Tangazo la Kusisimua! 🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟 Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako? Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
  19. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

    Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla. Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga? Ni mtindo uliozuka baada ya...
  20. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
Back
Top Bottom