DMmasi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 421
- 648
Salaam wanajamii forums
Ninawaona watoto wetu wameanza kukunja nguo wanarudi kijijini kwa wazazi kutusalimu
Hawaji kwa sababu wanatupenda wanakuja tuwatemee mate na kuwapa baraka za kimila warudi mjini wakatanue maisha yao
Kama kawaida hawaji kwasababu wametukumbuka sana hapana uko mjini muda wa kuandaa mashamba umekaribia sasa wanakuja kuchukua pembejeo ila wao hawawaletei ata makapi ya mavuno yao ila ahadi za kuwaletea makapi
Ni wakati wa kutoka katika usingizi huu wazazi amkeni usimwonee huruma kisa ni mwanao tumia pembejeo yako panapostahili
Huruma na njaa vimetuponza tumetapanya sana pembejeo zetu
Iwe mwisho tusitapanye ila zitumike ipasavyo kutumika
AMKENI AMKENI