mkisafiri kwenda mikoani december hakikisheni mmeacha na wosia nyumbani ...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
si nawatisha
ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa

kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe umshatubu kabla ya kuingia kwenye chombo cha usafiri kuelekea mikoani na kikubwa zaidi ukiweza kuhimili usifanye dhambi yoyote ukiwa njian ni vyema zaidi

toba n jambo muhimu sana kila siku ili kuweza kupata rehema za allah
jitahidi kama unaweza kuandika wosia wowote kipindi hiki ukielekea safari muhimu zaidi aimaanishi kujichulia kifo ila kuwasaidia watakaobaki ikitokea ya kutokea

la mwisho tukielekea december msipende kusafiri familia moja gari moja ama treni moja ama ndege moja sijambo jema .....jitahidi ulinde kizazi chako hatakama siku yako imefika basi usiondoke kwa hasira na familia nzima...

kama n mabasi pandeni mabasi tofauti kama n usafiri wa priv pandeni baadhi wengine mpande basi tumeshachoka na vifo vya familia nzima ..n hivi majuzi tu tumeona itv ajali tatu tofauti zote unasikia watu wa tatu ama watu wanne wa familia moja wafariki dunia

hivi vifo vya familia tuvipunguze december simaanishi kwa ubaya n kujihami kizazi chako kiendelee kuwepo...nimeona ndugu zangu wachaga kipindi hiki hata ist ya namba b... itafanyiwa service ili mradi moshi aonekane na usafiri

otherwise nawatakia safari njema na sikukuu njemaa kwa mtakaokuwa mmebaki dar es salaam na wale ndugu zangu wa chaga safari tunaanza tar 15nov naamini zile foleni za dar zitaanza kupungua na kuwapa ahueni

wale wa marangu mamba mwika mkiihitaji kitimoto kilo 7000 mbichi kuanzia kilo 5 na usafiri 3000 popote pale kasoro makaburini atuleti tuchekiane
 
FDD70F7C-98DE-4B46-84DB-4EDE22FC8C65.jpeg
 
si nawatisha
ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa

kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe umshatubu kabla ya kuingia kwenye chombo cha usafiri kuelekea mikoani na kikubwa zaidi ukiweza kuhimili usifanye dhambi yoyote ukiwa njian ni vyema zaidi

toba n jambo muhimu sana kila siku ili kuweza kupata rehema za allah
jitahidi kama unaweza kuandika wosia wowote kipindi hiki ukielekea safari muhimu zaidi aimaanishi kujichulia kifo ila kuwasaidia watakaobaki ikitokea ya kutokea

la mwisho tukielekea december msipende kusafiri familia moja gari moja ama treni moja ama ndege moja sijambo jema .....jitahidi ulinde kizazi chako hatakama siku yako imefika basi usiondoke kwa hasira na familia nzima...

kama n mabasi pandeni mabasi tofauti kama n usafiri wa priv pandeni baadhi wengine mpande basi tumeshachoka na vifo vya familia nzima ..n hivi majuzi tu tumeona itv ajali tatu tofauti zote unasikia watu wa tatu ama watu wanne wa familia moja wafariki dunia

hivi vifo vya familia tuvipunguze december simaanishi kwa ubaya n kujihami kizazi chako kiendelee kuwepo...nimeona ndugu zangu wachaga kipindi hiki hata ist ya namba b... itafanyiwa service ili mradi moshi aonekane na usafiri

otherwise nawatakia safari njema na sikukuu njemaa kwa mtakaokuwa mmebaki dar es salaam na wale ndugu zangu wa chaga safari tunaanza tar 15nov naamini zile foleni za dar zitaanza kupungua na kuwapa ahueni
Eweh.. mja kwani huamini katika qudari?
 
Kifo hakisubiri usafiri safari ndefu ndo kikupate. safari ya kutoka bafuni kuingia chooni ajali inatokea na mtu anakufa
 
wachagaaa tusisahau kitimoto nko pale kisamb0
nbox nakuletea waa marangu na mwiko hakikisha we sio wale wasiojulikana
kwikwikwi
 
Back
Top Bottom