Rudia kusoma ulichoandika, umegeuza mkeo na watoto kama walinzi...Mtoto mrembo kama wewe ndoa inavurugwaje
Upo sahihi mkuuMwanaume unatakiwa uwe UNPREDICTABLE usikaririwe et Baba anarudigi saa 2 usiku au saa 11 jioni. NEVER.
Mwenye akili timamu nafkiri tumeelewana. Na kingine BABA hutakiwi kurudi nyumbani mikono mitupu. Beba hata Mkate watoto wanywe chai asubuh. Au pipi ukikosa vyote.
Upo sahihi mkuuNadhani hapo kuna dhana kuhusu matumizi ya muda. Fikra kichwani ni matumizi mabovu ya muda. Ndio kinachowatesa watu. Lakini hebu tuangalie haya.
Una kazi umemaliza kazi saa 11. U akimbia kwenda kwenye kaduka kako, kanafunga saa 4 usiku. Unaaza kupiga hesabu zi balance saa nzima. Je, utarudi saa 2 usiku?
Una kazi, na ka elimu kidogo, unataka kujiendeleza, unamaliza kazi saa 11 unakimbia chuo, mnamaliza saa 4 usiku. Je, utalala saa 6 usiku?
Una biashara ya baa, unaisimamia mwenyewe. Mpaka wateja waishe saa 6 usiku, je, utalala saa ngapi.
Ninajua kabisa wafanyabiashara wakubwa wanatumia masaa 18 na zaidi macho. Hayo mambo ya kulala saa ngapi ni wale watakaozeeka walalahoi.
Asanteni.