Vp kuhusu Golden Retrive?Mbwa mzuri ni german shepherd , aina nyingine ni kipa katoka, yaani hazikabi beki.
Golden kwa ulinzi Hapana. Hawa mbwa wanapenda kujichanganya na watu sana. Yaani wanapenda urafiki na watu.Vp kuhusu Golden Retrive?
Hamna kitu hapo, huyo ni mbwa wa urembo tu..na companion.Kama ni ulinzi -Germany Shephard...(anza na huyu).Ukipiga hatua kiuzoefu..chukua Rotweiler, zaidi Pitbul...Vp kuhusu Golden Retrive?
Pitbull jiandae kisaikolojia kukugeuka hata mmiliki wake. Ni wa hovyo sana GS ndio mbwa wa kuishi nae. Kule Mwanza walishambulia familia, marehemu Mzee Kingunge na walipita nae na akafariki.Hamna kitu hapo, huyo ni mbwa wa urembo tu..na companion.Kama ni ulinzi -Germany Shephard...(anza na huyu).Ukipiga hatua kiuzoefu..chukua Rotweiler, zaidi Pitbul...
Kama uko nje ya mji una shamba kubwa mifugo, space ya kutosha....Kangal (ingawa nahisi sio wengi Tz).
Hawa ni mbwa wa aina gani walioshambulia?MBWA ASHAMBULIA WALEZI WAKE: SOMA HAPA
Habari za Asubuhi Team. Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu yetu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoa na watoto.Walikuwa Mbwa wawili aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumani kwake Usagara,Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada la
View attachment 2867101kini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote,wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula.baada Familia huo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya,Tulibahatika
Hio mimbwa sio, RIP KingungeMBWA ASHAMBULIA WALEZI WAKE: SOMA HAPA

Aiseeh kiukweli Hawa ni mbwa wazuri Sana mkuu nakubarianaNzuri ni mbwa koko mtunze na mwonyeshe upendo ni very loyal na anawafahamu household wote , wala hana gharama.
Zingatia chanjo maana ni wepesi kuoata ukichaa wa mbwa
Chukua huyu maana watanzania mnapenda sana mbwa kwa kuiga iga kwenye movie ! Huyu ni mzuri sana kama mmejiandaa kwa mazishiHello ladies and Gentlemen?
Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI?
Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.