Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva, Paris, London, Sydney, Stockholm, Copenhagen) na hapa nchini wengi wanaishi Jijini Dar es Salaam, Dodoma. Asanteni.