Kwako Esha Buheti unaishije hapo nyumbani na Waziri

pet96

JF-Expert Member
Feb 23, 2022
352
577
Umofya kwenu members!

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri ameonesha utovu wa nidhamu wa kupindukia kiasi cha kutaka kumzabua referee wa mchezo kisa kutokukubaliana maamuzi hii ni fedheha kubwa kwake na kwa familia yake kiasi kwamba namhurumia dada yangu Esha Buheti hapo nyumbani maana amedhalilika sana.

Niiombe TFF na ustawi wa jamii wajaribu kayaangalia naisha yao hapo nyumbani kama kunachembechembe za unyanyasaji wa kijinsia anapitia.

Nawasilisha.

Nifah
Bujibuji Simba Nyamaume
GENTAMYCINE
Kalpana
Shunie
MK254
aise
 
Acha kuingilia familia za watu Kwa ushabiki maandazi wako. Buhet akiachika utamuoa wewe unayepigwa Kila siku na mkeo?
 
Umofya kwenu members!

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri ameonesha utovu wa nidhamu wa kupindukia kiasi cha kutaka kumzabua referee wa mchezo kisa kutokukubaliana maamuzi hii ni fedheha kubwa kwake na kwa familia yake kiasi kwamba namhurumia dada yangu Esha Buheti hapo nyumbani maana amedhalilika sana.

Niiombe TFF na ustawi wa jamii wajaribu kayaangalia naisha yao hapo nyumbani kama kunachembechembe za unyanyasaji wa kijinsia anapitia.

Nawasilisha.

Nifah
Bujibuji Simba Nyamaume
GENTAMYCINE
Kalpana
Shunie
MK254
aise
Achana na mambo ya kitoto. Maana yatakuchelewesha kuufikia utu uzima.
 
Kuna refa huko huko Mapinduzi Cup alimlima kadi huyo Waziri akamtukania na jinsia yake
 
Umofya kwenu members!

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri ameonesha utovu wa nidhamu wa kupindukia kiasi cha kutaka kumzabua referee wa mchezo kisa kutokukubaliana maamuzi hii ni fedheha kubwa kwake na kwa familia yake kiasi kwamba namhurumia dada yangu Esha Buheti hapo nyumbani maana amedhalilika sana.

Niiombe TFF na ustawi wa jamii wajaribu kayaangalia naisha yao hapo nyumbani kama kunachembechembe za unyanyasaji wa kijinsia anapitia.

Nawasilisha.

Nifah
Bujibuji Simba Nyamaume
GENTAMYCINE
Kalpana
Shunie
MK254
aise
Post ya kitoto sana

Maisha ya nyumbani hayafanani na maisha ya kazini

Pia yule refa ilibidi apigwe kabisa maana ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom