nyumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

    . .
  3. JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  4. JamiiForums Tanzania Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  6. JamiiForums Tanzania Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

    Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu. Ni kipi...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda inajenga nyumba self contained kwa wasio na uwezo

    Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au service charges? Ni jukumu la mpangaji kufanya repair kukiwa na kasoro? Hii inaitwa investing in people...
  8. JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  9. JamiiForums Tanzania Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani. 1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu. 2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba tatu zinampatia kodi ya 3,500,000/=

    Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha. Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani...
  12. JamiiForums Tanzania Uwekezaji nyumba za kupanga

    Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família. Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya...
  13. JamiiForums Tanzania Plan ya nyumba ya shamba

    Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
  14. JamiiForums Tanzania Hii nyumba iko nchini Romania

  15. JamiiForums Tanzania Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

    Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi. Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
  17. JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  18. JamiiForums Tanzania Nyie mnapotupangisha Waume zenu katika Nyumba mlizojengewa na Hawara zenu huwa mnatuambia?

    Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT ) Chanzo: EastAfricaRadio Wanawake sijui ni kwanini mnakuwa wabishi kulikubali na Kulielewa hili...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

    👇👇👇
  20. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kisasa, Dodoma. Kodi sh. 400,000/= kwa mwezi

    NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO 1. INAVYUMBA 3 2.UMEME 3.MAJI 4.FENSI #MALIPO 1.KODI 400,000 (LAKI NNE) KWA MWEZI. UNALIPIA MWAKA MZIMA. 2. MALIPO YA OFISI(UDALALI) 400,000/= 3. SITE VISIT 10000/= #MAWASILIANO 0762967368(WHATSAPP) 0655325457 #KARIBUNI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…