Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
280
250
Nchi hii tunaenda wapi?

Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni nyumba kama tenants mpaka mauti au ni nyumba yao kabisa wakifa inaenda kwa watoto wao?

Hawa wabunge wetu wana akili ya mbu na ndiyo maana bunge lilijengwa karibu na Milembe Hospital. Futeni hii sharia jamani. Hizo nyumba na magari na pension zao nene si zingejenge basic housing kwa watu labda million mia mbili au kwa wananchi wote wa Zanzibar.

Kama kweli walikuwa marais wa kututumikia warudishe hizo nyumba. Walikula vya kutosha wakiwa viongozi.

House 1.jpg
House 2.jpg

Mwinyi gari.jpg
 
Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
7,843
2,000
Nchi hii tunaenda wapi?

Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni nyumba kama tenants mpaka mauti au ni nyumba yao kabisa wakifa inaenda kwa watoto wao?...
Hivi hatuwezi kuwakamata hawa marais na kuwapokonya hizi mali maana hakuna cha maana walichofanya hapa nchini zaidi ya kulindiana maslahi yao.

Ni zaidi ya miaka 60 sasa toka tupate uhuru, matatizo yetu ni yale yale, hakuna lolote la maana walilofanya hawa watu. Nashauri tuwakamate na kuwashitaki.
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,359
2,000
Unasema wananchi hawana nyumba kwani ni kosa la rais mstaafu mtu kukosa nyumba si upambane upate nyumba na wewe acheni kujibweteka mnaamka na kwenda vijiweni kupiga soga fanyeni kazi mpate hela mjenge na nyinyi nyumba zenu wakati wenzenu wanasoma nyinyi mlikuwa mnavuta bangi porini ndio mchakarike sasa afe kipa afe beki mjenge na nyinyi roho mbaya tu
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,534
2,000
Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni nyumba kama tenants mpaka mauti au ni nyumba yao kabisa wakifa inaenda kwa watoto wao?
Kuna maeneo watoto wanasomea chini ya miti, na wao walikuwa marais hawakuona haja ya kujenga mashule huko, nadhani wawe na mshipa wa aibu, wao walikuwa watumishi wa umma kama watumishi wengine, tofauti ni kipato chao kilikuwa juu zaidi ya wengine, hiyo ilitosha kabisa kuwafanya wawe na nyumba za kujenga wenyewe badala ya kujineemesha.

It is high time now tunahitaji usawa katika kula nationa cake tumechoka na kuzineemesha familia za viongozi
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,352
2,000
Nchi hii tunaenda wapi?

Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu...
Hizi mali zitaifishwe mara moja, ukizingatia hawa marais hawajafanya lolote hapa nchini na hawana faida kwetu.
 
Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
280
250
Unasema wananchi hawana nyumba kwani ni kosa la rais mstaafu mtu kukosa nyumba si upambane upate nyumba na wewe acheni kujibweteka mnaamka na kwenda vijiweni kupiga soga fanyeni kazi mpate hela mjenge na nyinyi nyumba zenu wakati wenzenu wanasoma nyinyi mlikuwa mnavuta bangi porini ndio mchakarike sasa afe kipa afe beki mjenge na nyinyi roho mbaya tu
Wewe una akili ya kuku. Yes wananchi hawana Nyumba sababu hao viongozi walikuwa wana kula nchi. Aliyetaka kuzima yote hayo wameisha mshughulia hayupo tena. I just can’t understand why they should be supported by taxpayers. These are the people with $$$$ in foreign banks. Wake u bongokese. Ni ambie wewe utajengewa hekalu ukiretire ?? RIP Magufuli. Wabunge wana akili ya nzi, they should be at Milembe hospital Kama wanapitisha sheria mbovu.
 
Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
280
250
Hivi hatuwezi kuwakamata hawa marais na kuwapokonya hizi mali maana hakuna cha maana walichofanya hapa nchini zaidi ya kulindiana maslahi yao.

Ni zaidi ya miaka 60 sasa toka tupate uhuru, matatizo yetu ni yale yale, hakuna lolote la maana walilofanya hawa watu. Nashauri tuwakamate na kuwashitaki.
Well said, wangewekwa Ndani hao wote, they sold our natural resources. Now they want more when they did nothing apart kuangalia matumbo Yao na familia zao. Lock them up. Any wamejitungia sheria wasishitskiwe, they knew they were not doing the right thing- wakajikinga.
 
Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
280
250
Hayakuwekwa wazi haya siri imefichuka majuzi tu
Wala hayana aibu, huge ceremonies zinafanyika. Hawa wabunge tunachagua wana akili ya nzi kabisa. Kikwete alikuwa waziri wa madini, ebu check hiyo mikataba iliyokuwa ikisainiwa London etc! RIP JPM
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
14,679
2,000
Wewe una akili ya kuku. Yes wananchi hawana Nyumba sababu hao viongozi walikuwa wana kula nchi. Aliyetaka kuzima yote hayo wameisha mshughulia hayupo tena. I just can’t understand why they should be supported by taxpayers. These are the people with $$$$ in foreign banks. Wake u bongokese. Ni ambie wewe utajengewa hekalu ukiretire ?? RIP Magufuli. Wabunge wana akili ya nzi, they should be at Milembe hospital Kama wanapitisha sheria mbovu.
Akili za kimaskini ndio hizi. Huwezi kukwepa kuwa na rais katika nchi na huwezi kukwepa kumtunza akiwa amestaafu. Labda hujui ukubwa wa cheo cha rais.
 
Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,442
2,000
Wastaafu huwa hawapitishi sheria.
Sheria zinapitishwa na wabunge ambao ndio wananchi.
DAI KATIBA MPYA YENYE USAWA
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
20,972
2,000
Jamani msiwe mnapost hilo li kasri la JK, mie ntakufa kwa pressure wallah, yaan nikiliona tyuuh machozi yanatoka na mapigo ya moyo yanaenda mbio.

Hii nchi aliye iroga, na alaaniwe milele.
 
Mwime-Kahama

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
280
250
Walifanya mambo ya kitoto sana
halafu bado tunawapa mahekalu. Yaani hiyo ni sheria sasa, eti ni haki yao. Watumishi mishahara yao imesota bila kupandishwa. Lakini hela ya magari na mehekalu zipo nyingi tu. Badala ya mahekalu, hawa viongozi wote wangeswekwa Keko jail au Ukonga.
How can they accept that. So what happens whey they dies, will the government get the house back? Hawa wabunge wetu, hawana akili kabisa wanapitisha sheria zilizojaa uozi. Most of these law makers are professors, but they don't think past matumbo yao na familia zao tu. KAZI IENDELEE MEANS - TUENDELEE KUJAZA MATUMBO YETU MPAKA YAPASUKE.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom