nyumba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kuweka Gypsum katika nyumba

    Habarini wadau, Kama mada ilivyojieleza. Naomba kujua kwa nyumba yenye sebule, dining, jiko, vyumba viwili na master. Kwa makadirio inaweza ikacost shilingi ngapi kuiweka Gypsum. Na ni Gypsam board gani nzuri na cost ni shilling ngapi? Natanguliza shukran.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za fundi Kupaua nyumba hii ya flat roof(picha)

    Nawasalimu wanajamvi. Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ramani bomba ya nyumba vyumba vinne

    habari za Leo wakubwa, Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au pray room.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ramani kali ya nyumba toleo jipya

    Leo nawaletea karamani kapya. Ni ingizo jipya kabisa.
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

    Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
  6. kwadilo

    JamiiForums Tanzania House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

    Nyumba inapatikana ukonga, Mombasa Njia ya lami kuelekea mazizini. (Kutoka stand mpaka kwenye nyumba ni mwedo wa dakika 5) Maelezo. Nyumba ina vyumba viwili (ikiwemo master moja) Sitting room, jiko, public toilet na store. Full tiles, gypsum, shunter Windows. Maji ya dawasco Iko ndani ya fensi...
  7. kidadari

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa nyumba unaoshika kasi Mbagala Chamazi na Chanika

    Kuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM. Mchezo upo hivi: Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao ambao hujenga nyumba cha kiwango cha chini sana cement mfuko mmoja tofali 48+ tofali hufwatuliwa site...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kinonzo

    My take: Wapinzani wa Uganda walipitia mateso makali wakati wa uchaguzi lakini wamepata wabunge kadhaa japo urais walipoteza, sisi hofu yetu ilikua kubwa tumenyongwa kweli. Tusitegemee matumaini ya ushindi wakati tumejaa woga.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba za mawaziri Mikocheni nani anaishi kwa sasa?

    Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao. Je, hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo? Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda...
  10. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Unakaaje hapa duniani zaidi ya miaka 80 huna hata nyumba ya kwaachai watoto,serikali iingilie kati

    Habari wakuu Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni...
  11. kingkong shoulder

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kinyerezi

    Ipo Kinyerezi Mbuyuni ina vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master, jiko, sitting room, ipo ndani ya fensi, maji yapo, kodi ni 250000, karibuni sana, mawasiliano 0782239344
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yabomoa nyumba 117 Mtwara

    Nyumba 117 zimebomoka katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na watu kadhaa kukosa makazi huku nyumba 315 zimezingirwa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa alisema jana kuwa watu hao ambao hawana makazi wamehifadhiwa kwa jamaa zao. Hata hivyo...
  13. P

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba tatu zinauzwa Chanika

    nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa Mahali: Chanika ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni Huduma: maji, umeme na shule ipo karibu umbali kutoka barabara ya lami ni 2km na umbali kutoka barabara kubwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya nyumba kubomolewa je haiwezekani kuhamishwa?

    Tumeshuhudia nyumba zenye thamani zikibomolewa kutokana na sababu mbalimbali. Je huko dunia ya kwanza na wao huwa wanabomoa nyumba wanapokuwa wanahitaji eneo ambalo nyumba imejengwa?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  16. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Goba

    NYUMBA INAPNGISHWA Mahali: Goba center Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba vitatu(viwil self contained rooms), jiko, mahali pa kulia chakula na sebule Umbali: Nyumba ipo Mita 500 kutoka barabara ya Goba road Huduma: Nyumba ina luku na maji binafsi Bei: 600,000 Mawasiliano: 0629615557 Case: 33A...
  17. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Boko

    NYUMBA INAPANGISHWA Mahali: Boko kwa mpemba Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba viwili (kimoja ni master bedroom), sebule, jiko ndani na nje, Choo cha jumuiya ndani na nje, stoo na mahali pa kupumzka. Huduma: maji, umeme na AC Nyumba ina umbali wa mita 300 kutoka Bagamoyo road. Bei: 500,000/=...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Watanzania chanzo chake ni kupenda kujenga nyumba ya kuishi kwanza badala ya kuanzisha biashara

    Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania. Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia. Wenzetu Wahindi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, ipi ni nafasi ya dalali kwenye upangishaji wa nyumba?

    Upangishaji wa nyumba au chumba unaendeshwa na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 , ambapo sheria hiyo imetaja wahusika wawili tu katika upangishaji. Wahusika hao ni mpangaji na mpangishaji, sheria hii haijataja nafasi ya dalali, hivyo dalali anakuwepo kwa makubaliano kati ya mpangishaji au...
  20. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
Back
Top Bottom