nyumba

  1. RealEstate Agent

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

    Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

    Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba kubwa kwenye kiwanja hekari 1 na nusu - Madale

    Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M x 5M) 4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master 5. Public toilet 6. Stoo kubwa. 7. Kuna miembe na miti...
  5. Hadrianus

    JamiiForums Tanzania Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

    Je wewe unavutiwa na mpangilio upi wa nyumba?
  6. NDORANGA

    JamiiForums Tanzania Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Wasalaam. Habarini Wana JF, Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ahmed Adam Adam aliyofikia Nyerere, Mikindani 1956 kukarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA JULIUS NYERERE MIKINDANI MWAKA WA 1956 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU KUKARABATIWA NA SERIKALI Historia ya nyumba hii nimeileza katika kitabu cha Abdul Sykes. Naweka hapa yale niliyoandika kuhusu nyumba hii: "Julius Nyerere, Ali Mwinyi Tambwe na Rajabu Diwani...
  8. De Professor

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba

    Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni genius, kwa bajeti hii ametutua mzigo wenye nyumba

    Habari wadau..! Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba. Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa automatically na wapangaji kupitia manunuzi ya umeme kama wenye nyumba hauishi kwenye nyumba uliyopangisha au...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

    Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni. Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja...
  11. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Inaunzwa ipo Kimara Bonyokwa

    Nyumba inaunzwa eneo Kimara Bonyokwa Bei milioni hamsini na tano 55,000,000/= Mawasiliano piga sim 0713660178
  12. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa eneo la Mbezi Luois

    Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa Eneo ukubwa ni 30*25 Mahali Mbezi luois Bei milioni 35,000,000/= Mazungumzo yapo na karibu sana Mawasiliano piga sim 0713660178
  13. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
  15. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

    . .
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  17. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

    Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu. Ni kipi...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda inajenga nyumba self contained kwa wasio na uwezo

    Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au service charges? Ni jukumu la mpangaji kufanya repair kukiwa na kasoro? Hii inaitwa investing in people...
Back
Top Bottom