Hello everyone,
I'm still continuing with my project of house design.
And today I've come with the second project which I've made this week as you can see on the photos below.
This house has four bed rooms, in which one room can be used as a prayer room or a study room or sometime you can put...
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Katika hali ya kustaajabisha siku ya leo jumamosi, jiji la Mwanza hasa maeneo ya Buzuruga, Nyasaka, Mahina, Mhandu, Gedeli na maeneo mengine ya jirani hali imekuwa tofauti na ilivyozeleka.
Katika maeneo tajwa katika siku nzima ya leo anga limekuwa kama lina vumbi au ukungu au vyote kwa pamoja...
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaagiza wakuu wa wilaya nchini wawakamate na kuwaweka mahabusu wananchi wanaoshindwa kuunganisha umeme katika nyumba zao baada ya miezi sita kwa kuwa serkali inatumia gharama kubwa kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vyao.
Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake.
Mwisho wa siku...
Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa.
Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa.
Kwa bahati mbaya baba kazi zake ni nyingi kiasi anashindwa kurudi weekend nyumbani, miaka imekata zaidi ya...
Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
Mada hapo juu yaeleweka.
Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26.
Shule nyingne zaidi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15 hadi 28 Februari wataendesha kampeni ya kuorodhesha majengo yote nchini ili wamiliki wake waweze kulipa kodi.
Jafo amebainisha hayo jana mkoani Morogoro kwenye uzinduzi wa...
Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba?
Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.
"Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
Wakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
Miaka hiyo nimetoka chuo tu nikapata kazi sehemu fulani bado nikiwa home. Nilijiwekea tu malengo kuwa kuepuka usumbufu wa usafiri in a year lazima niwe na gari.
Nilinunua gari nikiwa home then nikanza mchakato wa kuanza maisha binafsi. Nikatafuta nyumba ya kuanzia maisha. Nilipata vyumba viwili...
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo wanaemuona kwao ni kama Mungu Mtu kisa tu ana nafasi ya kuweza kuwafanya waishi vizuri japo ni kwa...
Habarini wadau,
Kama mada ilivyojieleza. Naomba kujua kwa nyumba yenye sebule, dining, jiko, vyumba viwili na master. Kwa makadirio inaweza ikacost shilingi ngapi kuiweka Gypsum. Na ni Gypsam board gani nzuri na cost ni shilling ngapi?
Natanguliza shukran.
Nawasalimu wanajamvi.
Nimejenga nyumba yangu mitaa ya Goba Dar es salaam, yenye ukubwa wa sqm 340, Pesa zenyewe nimeungaunga kweli ujenzi ulianza tangu 2015 mpaka sasa ndio nataka kupaua. Nimefika hatua ya kupaua ila napata kigugumizi kila fundi ananipa mahesabu tofauti na gharama tofauti...
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au pray room.
Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.