Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,553
2,000
1622388402957.png

Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.

Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,923
2,000
Hicho ni kichuguu cha mchwa kilichokuzwa (magnified) na photoshoped ili kionekane kama nyumba ya kuishi watu.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Wakati wa joto ninadhani walitumia muda mwingi nje na usiku miamba huwa inapoa ikishapoteza joto la jua.
Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.

Kuna rafiki yangu aliwahi kuja kulala ghetto kwangu kwa vile chumba alichopanga mwezi huo jua lilikuwa linapiga ukutani kwake mchana mzima. Usiku anawasha feni lakini waapi akakimbia
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,553
2,000
Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.

Kuna rafiki yangu aliwahi kuja kulala ghetto kwangu kwa vile chumba alichopanga mwezi huo jua lilikuwa linapiga ukutani kwake mchana mzima. Usiku anawasha feni lakini waapi akakimbia
Ajabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.
 
KimpaGhasha

Member
Jun 21, 2020
39
125
Samahan sky .... Nahis una maarifa makubwa saana bila shaka
... Emu niambukize mbinu tafadhali nimejaribu kukuPM sijui kimetokea nn
 
Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,933
2,000
Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Kwa ubunifu kweli walikuwa wabunifu lakini ukisema eti miaka 700 iliyopita ilikuwa ni "zama za mawe" , nakataa.

Miaka hiyo ya 1320s Iran ilikuwa ikijulikana kama Persia, ni moja kati ya nchi zilizokuwa zimepiga hatua kubwa tu kimaendeleo kwa wakati huo.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,260
2,000
Ajabu ukiwa Misri ukisimama chini ya Pyramids ni kama uko kwenye AC wakati huo jua linaunguza.
Aaah achana na mafarao walijenga na makaburi humo kuweka mummies wanaodumu maelfu. Walikuwa na teknolojia ya juu sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom