nyumba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ikiuzwa bei poa sana jiulize ni kwanini, huyu yamemkuta

  3. C

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti. Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana...
  4. Rujeje

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Wakuu poleni na majukumu Naomba kuhuliza kwa budget ya milioni 15 naweza kujenga nyumba kama hii?? ukitoa gharama ya kiwanja
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Nimewaomba TANROADS wawape muda zaidi wakazi wa Kimara kabla ya kuwabomolea nyumba zao!

    Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara. Mkumbo amesema kwa kuanzia amewaomba Tanroads kuwaongezea muda wakazi hao ili kupisha majadiliano ya msingi yafanyike. Prof...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  7. Grahams

    JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
  8. Tango73

    JamiiForums Tanzania Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
  9. LellozWho

    JamiiForums Tanzania “PUBLIC TOILET” Ni sahihi kuita Choo cha nyumba binafsi Public toilet?

    Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi. hii imekaa sawa?
  10. Digital base

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, achomewa nyumba na wananchi

    Baadhi ya wananchi wa kata ya Sokoni 2 halmashauri ya Arusha leo Ijumaa Julai 9, 2021 wamechoma moto nyumba ya Ng'ida Loisulye anayedaiwa kubomoa nyumba ya ndugu yake, Benjamin Mollel kwa maelezo kuwa ameshinda kesi mahakamani. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya nyumba hiyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuwe na Wizara ya nyumba na makazi ili kuboresha makazi ya watu

    Wizara ishughulike na ujenzi wa majengo ya watu kuishi. Nyumba za ghorofa za kuchukua familia 50 kwenye block moja. Wakaxi wanakua wapangaji wa wizara na kodi inayokusanywa inasaidia kujenga nyumba nyingine. Wanaotaka kujenga nyumba zao waombe kibali, kigezo cha kupata kibali ni kuonyesha...
  15. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam. Pongezi kwa Wizara na Serikali.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba zenye choo cha shimo, choo cha nje zimepitwa na wakati

    Unaishi kwenye nyumba choo kiko nje, usiku wa mvua kubwa ukitaka kwenda kujisaidia ni lazima maji ya mvua yaguse ngozi. Vyoo vingine havina mapaa, ukiwa unajisaidia mvua haikwepeki. Asubuhi unakwenda kuoga na taulo, wanaopita njia wanajua ndiyo unaoga, na taulo lako kila mtu analijua rangi...
  18. mbongowakweli

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju 'B' Sokoni 80m/=

    Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=. Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo. Bunju Mzee Jaros 0754826668 0712168055
  19. A

    JamiiForums Tanzania Aina tofauti za nyumba na majina yake

  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

    SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation. Pia...
Back
Top Bottom