Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari,

Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu,

Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
 
Habari,

Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu,

Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
Itakusaidia nini bro!!! Hebu itendeeni haki Jamii forum!!! Mbona mada yako haina mashiko!??
 
Back
Top Bottom