Nyie mnapotupangisha Waume zenu katika Nyumba mlizojengewa na Hawara zenu huwa mnatuambia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,911
Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT )

Chanzo: EastAfricaRadio

Wanawake sijui ni kwanini mnakuwa wabishi kulikubali na Kulielewa hili kwamba hakuna Mwanaume Rijali hata akuoe kwa Harusi ya Kifahari hatoweza kuwa na Nyumba Ndogo zake kadhaa.

Kuna Rafiki yangu Mhaya na Muha ( Washamba Watupu ) Mkewe Kamlazimisha Kupanga Nyumba Moja Kijitonyama ambayo kumbe ni ya Mkewe huyo huyo aliyojengewa na Hawara yake ambaye ni ' Boss ' mkubwa katika Shirika Moja la Serikali linaloongoza kuwa na ' Migogoro ' Tanzania nzima.

Yaani GENTAMYCINE nikiona Mwanaume Rijali kabisa ' Kaoa ' halafu hana ' Vinchechede ' nje ( pembeni ) huwa namdharau na hata sitaki awe ' Mshikaji ' wangu vile vile

Na sijui ni kwanini Wanaume wanaoongoza ' Kupelekeshwa ' na Wake zao ni kutoka Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma, Kondoa Dodoma na Ukerewe Mwanza. Huwezi kukuta Mwanamume kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) anafanyiwa ' Upopoma ' wowote na Mwanamke kutoka Tanzania hii Kudadadeki.
 
Mwakagenda ana nyumba ndogo ngapi? Je hiyo ndio sababu Mbunge ana généralise kuwa wanaume wote wako hivyo?
 
Wanawake ni viumbe wenye kila aina tabia chafu na wanalijua hilo na ndio wanaongoza ni vile stori za kale ziruhusu sana wanaume za wanawake hazikuandikwa kivile na silaha kubwa kuficha maovu yao ni kulalamika.hii kitu wengi tutakuja kufahamu siku tukienda mbinguni tukiona karibia asilimia 98.9 za wanawake wanasombwa motoni ndio maana kuruhani imewahidi wanaume kupatiwa wanawake wapya maana hata Mungu anajua tunaishi na creatures that have devils features this why jesus himself select only 12 men to follow him because he know woman nature
 
halafu ikawaje sasa?mume alikuja kujua kwamba kodi za nyumba alikuwa anamlipa mkewe??!!wanawake kuna time nao ni kichefuchefu
Hii ndio dawa Yenu maana hamueleweki wacha na sisi tuchangamke
 
Hakuna formula ya maisha sifa kubwa ya mwanamke ni kumudu kuyaficha matatizo yake akishindwa ndoa siyo ubatizo kuwa hautenguliwi.
 
Back
Top Bottom