Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,879
Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu.

Ni kipi ambacho huwa kinawauma mno?
 
Kule vyooni mnakuwa si wastaarabu halafu kikawaida wanaume huwa hawasafishi wao wananunua vifaa inakera
 
Mimi kipindi nipo Chuo nilikuwa nimepanga nje ya chuo , of course nilipanga room pekee yangu.. wana kwenye magetto walikuwa kila siku wanavukisha ila mimi nilikuwa sio mtu wa mademu sana (of course uzinzi ni dhambi ambayo napambana nayo sana kuishinda japo nimefanikiwa kama 70%) yaani kiasi kwamba kisaikolojia wao walikuwa kama inawauma hivi .

Mbona nisifanane nao kwenye kunyandua sketi za chuo . Nikafanya hitimisho vijana tuna mentality fulani hivi kwamba ukiwa una tabia fulani mbaya lazima basi na mwingine awe nayo.

Sema nyumba za kupanga ukiwa ni mtu wa kufuata mambo yako unaepuka mengi sana yaani.
 
Sema kiukweli nnakubaliana na mtoa mada.....wake za watu kwenye nyumba za kupanga hua na majaribu mnooo hapo bado kufuatiliana...!!

Mim kwenye nyumba niliopo kuna wake za watu wawili....mmoja ni ana mambo ya kufuatiliana..!!"fanya uoe"..."yule dem wako mbona simuoni"

Huyu wa pili sasa yupo kwenye mitego na inaonekana kuchapa ni simple...!!khanga moja nje nje...akisikia nmerudi nae atatoka nje kuoga...!!huyu sitak hata mazoea nae...!!

Ukikaa nyumba za kupanga nawe ni bachela...ndugu yngu vumilia mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom