nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nifunge AC ipi kwenye nyumba yangu?

    Habari, kutokana na mada za watu tofauti wakiomba kufahamishwa kuusu aina gani ya AC wafunge nimeona nije na hii mada itakayo weza kutoa muongozo kwa yule mtu ambaye anahitaji kufunga AC kwenye ofisi au nyumba yake. Kwanza tunajua kuwa kuna aina za ac hushauliwa kufungwa maofisini na kuna zile...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba 52 za Watumishi Zimejengwa Mwaka Huu wa Fedha

    MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga nyumba za Watumishi 52 zenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.417 katika Hospitali za Rufaa za Mikoa na...
  3. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa East Africa Road Arusha (Muriet)

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni  mita 20×15. •Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia. Bei ni Tsh 35,000,000. Kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania wewe unapenda nyumba yako iweje

    kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

    Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye umri wa miaka 16, alitumwa na wazazi wake kuwachukua kaka zake kutoka katika nyumba ya rafiki yao...
  6. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anapangisha jumba lake la kifahari kwa takribani Tsh. 25,726,140 kwa mwezi

    Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la Madrid nchini Unispania kwa euro 10,000 tu (takriban $10,980) sawa na Tsh. 25,726,140/= ( Milioni 25 za Kitanzania ) kwa mwezi! Jumba hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoishi kwenye nyumba za kupanga Mungu anawaona

    Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba kwa Mama Chacha. 1.2km kutoka Goba Centre

    Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache. Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba aina ya Bungalow zinakuwajekuwaje?

    Nimesikia sana hili neno Bungalow, ni nyumba za aina gani hizi?
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa, Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko, Uwanja mkubwa squire meter 800 Ina fensi ya kisasa. Umeme na maji vipo, Umbali km moja kutoka morogoro road, Bei milioni 35.negotiable
  12. JamiiForums Tanzania KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

    Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu. Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili inayojitegemea (stand alone) maeneo ya Mbezi Beach

    Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea. ~ Bajeti laki 5 (500,000). ~ Iwe maeneo tulivu Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru. Najua...
  14. JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani ya nyumba yako

    Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters. Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake. Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze. Chukua...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

    Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu. Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka. 1...
  17. JamiiForums Tanzania Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  18. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani kingine nje. Sittingroom, deningroom Flem za biashara 2. Kozi 2 ya uzio Eneo la kujenga mabanda ya uani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7 inje ( ya tofali kama vyumba) Frame ya Duka Gazebble Imezungushiwa ukuta na Gate Eneo size ni 2230 sqm...
  20. JamiiForums Tanzania 90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

    Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…