nyumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jifunze kwa mpangaji wa nyumba yako na sio kumfanyia visa

    Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake. Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako. Hii sio sawa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

    Dar es Salaam. Familia ya Festo Aaron, inayoishi Kimara Bonyokwa iko njia panda baada ya kukosa makazi kutokana na nyumba yao kupigwa mnada na taasisi ya Uwezo Financial Service kwa kushindwa kurejesha deni la Sh7 milioni. Mwaka 2020 familia hiyo yenye watoto watano ilikopa Sh6 milioni katika...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  4. kabugira

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  6. Mparee2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  10. jastertz

    JamiiForums Tanzania Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

    Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa. Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea. Unaona mwamba/demu kaingiza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  12. lukatony

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
  14. Yofav

    JamiiForums Tanzania Tupeane Experience, kutoka kimapenzi na jirani mliekutana nyumba za kupanga

    Habari wakuu, Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa. Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
  15. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Uzi wa mafundi wa majumbani kama umeme, ujenzi, bomba na n.k + wenye nyumba lengo nikupata msaada au kutoa ushauri au unataka fundi Kwa wenye nyumba Mfano: wewe una hitaji fundi wa umeme labda pasi, jiko, tv, short-circuit, n.k au ujenzi unaweza pata fundi contacts zake, au ukaomba ushauri...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
  17. keikiu

    JamiiForums Tanzania Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa

    CHUMBA, SEBULE PAMOJA NA CHOO CHA NDANI KINAPANGISHWA Chumba kikubwa ambacho kina Choo ndani pamoja na sebule yake kinapangishwa. Kinapatikana Mbezi Mwisho karibu na stendi ya Magufuli, maeneo ya mtaa wa Muhimbili. Hatuna dalali, fika kagua nyumba, lipia. *Kodi ni 120,000 kwa mwezi. Kwa...
  18. Mjuzi Wenu

    JamiiForums Tanzania Nifunge AC ipi kwenye nyumba yangu?

    Habari, kutokana na mada za watu tofauti wakiomba kufahamishwa kuusu aina gani ya AC wafunge nimeona nije na hii mada itakayo weza kutoa muongozo kwa yule mtu ambaye anahitaji kufunga AC kwenye ofisi au nyumba yake. Kwanza tunajua kuwa kuna aina za ac hushauliwa kufungwa maofisini na kuna zile...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nyumba 52 za Watumishi Zimejengwa Mwaka Huu wa Fedha

    MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga nyumba za Watumishi 52 zenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.417 katika Hospitali za Rufaa za Mikoa na...
  20. Fundi Lyimo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa East Africa Road Arusha (Muriet)

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni  mita 20×15. •Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia. Bei ni Tsh 35,000,000. Kwa...
Back
Top Bottom