Nyumba hii nimeijenga kwa miaka mitatu

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Ilikuwa Tarehe 02/09/2020 nilifanya maamuzi ya kununua eneo la makazi yangu Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mamlaka ya mjimdogo Katoro, kitongoji cha Inyala, Kata ya Nyamigota.

Baadae nilipata pesa kidogo nikajisemea kwa umri wangu huu ndio muda wa kutafakari na kuweka familia pamoja kabla sijaanza kusomesha, na mambo yatakapo kuwa yamebadilika niwe nipo kwangu nahangaikia chakula na maradhi nisiwe mtu wa kutukaniwa kwenye nyumba ya kupanga na kelele ni nyingi mno uko kwenye kupanga.

Maamuzi yangu yalikuwa haya baada ya kuamua mara moja na niliapa kwamba M/Mungu anisaidie mtoto wangu akianza shule niwemepata kwangu hii inisaidie nisiwe mtu wa kuhama hama. Maana ukiwa na makazi ya kuhama mara kule mara huku inachanganya kudumaza maendeleo ya mtoto na hili nilifanikisha.

Kingine kilichofanya nichukue uamuzi huu, ni kwasababu mimi ni mtu wa kuhama hama tena nikihama naenda mkoa mmoja au wilaya nyingine, niliona hii itanifanya familia yangu kugawanyika endapo nikikwama kwa namna moja au nyingine.

Na hapo sasa mtoto awe ndio ameanza shule unahama aisee, haya mambo yasikie tu.

Tuendelee....

IMG_20211204_110450.jpg

Upande wa mbele
IMG_20211204_165921.jpg

Tarehe 12 Nov 2021 Nilianza ujenzi na lengo la kujenga iikuwa ni chumba kimoja kwanza ajili ya kukifanya duka kwa sababu sehemu nilipokuwa nimenunua kiwanja/eneo niliona pako na mzunguko wa biashara ya duka sababu watu walikuwa wamehamia wengi na wengine walikuwa wanaendelea na speed ya kujenga kila kukicha nikaona hii kwangu ni fulsa kwa sababu hakuna mtu mwenyewe huduma kama hii kwa hapa.

Nilifanya vile kumwezesha mke aweze kujishughulisha kwa kutafutiapo mahitaji madogo madogo, hii niliona itamuongezea hali ya kujiamini na kumsaidia asiwe mpweke na kujihusisha na mavikundi pamoja na mavikoba na lengo langu, endapo nimekwama basi yeye anatoa kwenye mzunguko wake ananunua mboga mambo ya chakula yaani mahindi nimesimama kidete kuhakikisha kuwa chakula hakipungui yaani gunia za Mahindi ziwepo kuanzia 2 au 3 na bila kusahamu nyumbani kwetu nakumbuka kutuma gunia 3-4 za mahindi kwa msimu wa mavuno. Hii ni kuondoa matumizi ya hapa na pale kwa familia yangu ya zamani kwani bado nipo pamoja nao pamoja na kwamba nimejitenga niko kwangu majukumu yako palepale kama kijana anayetambua maisha ya familia zetu na hali ilivyo huko nyuma tutokapo.
20220501_102831.jpg

20220501_142956.jpg

Mei 2022 niliongeza vyumba kama picha inavyoonekana, nimeendelea kupambana kadri niwezavyo ili nisije kuacha familia yangu ikihangaika. Bora wahangaikie chakula, mavazi na malazi lakini siyo wahangaikie chakula, makazi, mavazi na malazi vyote kwa pamoja itakuwa ni huzuni mno kwa usawa huu tulionao.

20220924_153644.jpg

Mwaka 2022 mwezi wa 8 nilipaua kama inavyoonekana hapo kwenye picha kwa uhalisia zaidi, hapo nikaanza kuvuta nguvu ili niweze kumalizia mambo mengine yaliyosalia kwa sababu kazi kubwa nimeimaliza ingawa finishing ni ngumu sana kama unahela za kuunga unga ila Mungu ni mwema.

20230428_100454.jpg

2023 mwezi 3 nilifikia hatua hii na Mungu ni mwema nimemaliza na kuweka SingBod kwa sasa.

Lengo langu halikuwa baya kuhusu uzi huu, ila nilikuwa nataka muone namna unavyoweza kujikwamua na wewe ili ufikie lengo walau hata kunusa nusa kiasi kwamba hutaweza kumlaumu mtu zaidi ya kusema asante kwa afya na maarifa ambayo unakuwa nayo mbeleni na hata kabla ya hapo.

Mungu aendelee kukusaidia wewe mpambanaji hakikisha hukai kwa lalamiko mimi nimpambanaji kwa hatua hiyo nimejinyima hata maisha nayoishi nimejinyima mno maana kwenye mambo ya kujirusha simo kabisa na mambo ya kuvua chupi niliacha kabisa baada ya kuona umri ukienda wakumlaumu hamna ni mimi mwenyewe ndio ntaonekana mjinga hivyo niliona kesho yangu haiko salama.

Hata hivyo kabla sijahitimisha makala hii ni kwamba hata kama utafanikiwa kufanya mambo yako nguzo kubwa ipo kwa mke ukimtumia hela ukakuta ametumia tofauti na maelekezo yako my friends 😄 🤣 jipigepige kifua sema Mungu kwanini umeyaruhusu haya. Yaani malengo lazima yatimie kwa kushirikiana kwa muda hata kama mtapishana ila hamtoki kwenye mstari wenu.

Wengi tunaanguka kwa sababu watu tunaowaamini ndio wanaoturudisha nyuma na kujikuta lawama zinakuwa nyingi mpaka wengine wanafikia kusema hataweza kuwa na mwanamke mwingine bora aishi peke yake maana unakuta mke kila siku yeye ni kuingizia hasara familia.

Amekopa mpaka kaweka rehani kitanda wanacholalia ila ukija kuangalia alichofanyia pesa aliyokopa hakuna hata cha maana na biashara haionekani.

20220501_102831.jpg

Credit: jumanne255.com
 
Ilikuwa Tarehe 02/09/2020 nilifanya maamuzi ya kununua eneo la makazi yangu Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mamlaka ya mjimdogo Katoro, kitongoji cha Inyala, Kata ya Nyamigota.

Baadae nilipata pesa kidogo nikajisemea kwa umri wangu huu ndio muda wa kutafakari na kuweka familia pamoja kabla sijaanza kusomesha, na mambo yatakapo kuwa yamebadilika niwe nipo kwangu nahangaikia chakula na maradhi nisiwe mtu wa kutukaniwa kwenye nyumba ya kupanga na kelele ni nyingi mno uko kwenye kupanga.

Maamuzi yangu yalikuwa haya baada ya kuamua mara moja na niliapa kwamba M/Mungu anisaidie mtoto wangu akianza shule niwemepata kwangu hii inisaidie nisiwe mtu wa kuhama hama. Maana ukiwa na makazi ya kuhama mara kule mara huku inachanganya kudumaza maendeleo ya mtoto na hili nilifanikisha.

Kingine kilichofanya nichukue uamuzi huu, ni kwasababu mimi ni mtu wa kuhama hama tena nikihama naenda mkoa mmoja au wilaya nyingine, niliona hii itanifanya familia yangu kugawanyika endapo nikikwama kwa namna moja au nyingine.

Na hapo sasa mtoto awe ndio ameanza shule unahama aisee, haya mambo yasikie tu.

Tuendelee....

View attachment 2674010
Upande wa mbele
View attachment 2674130
Tarehe 12 Nov 2021 Nilianza ujenzi na lengo la kujenga iikuwa ni chumba kimoja kwanza ajili ya kukifanya duka kwa sababu sehemu nilipokuwa nimenunua kiwanja/eneo niliona pako na mzunguko wa biashara ya duka sababu watu walikuwa wamehamia wengi na wengine walikuwa wanaendelea na speed ya kujenga kila kukicha nikaona hii kwangu ni fulsa kwa sababu hakuna mtu mwenyewe huduma kama hii kwa hapa.

Nilifanya vile kumwezesha mke aweze kujishughulisha kwa kutafutiapo mahitaji madogo madogo, hii niliona itamuongezea hali ya kujiamini na kumsaidia asiwe mpweke na kujihusisha na mavikundi pamoja na mavikoba na lengo langu, endapo nimekwama basi yeye anatoa kwenye mzunguko wake ananunua mboga mambo ya chakula yaani mahindi nimesimama kidete kuhakikisha kuwa chakula hakipungui yaani gunia za Mahindi ziwepo kuanzia 2 au 3 na bila kusahamu nyumbani kwetu nakumbuka kutuma gunia 3-4 za mahindi kwa msimu wa mavuno. Hii ni kuondoa matumizi ya hapa na pale kwa familia yangu ya zamani kwani bado nipo pamoja nao pamoja na kwamba nimejitenga niko kwangu majukumu yako palepale kama kijana anayetambua maisha ya familia zetu na hali ilivyo huko nyuma tutokapo.View attachment 2674132
View attachment 2674133
Mei 2022 niliongeza vyumba kama picha inavyoonekana, nimeendelea kupambana kadri niwezavyo ili nisije kuacha familia yangu ikihangaika. Bora wahangaikie chakula, mavazi na malazi lakini siyo wahangaikie chakula, makazi, mavazi na malazi vyote kwa pamoja itakuwa ni huzuni mno kwa usawa huu tulionao.

View attachment 2674149
Mwaka 2022 mwezi wa 8 nilipaua kama inavyoonekana hapo kwenye picha kwa uhalisia zaidi, hapo nikaanza kuvuta nguvu ili niweze kumalizia mambo mengine yaliyosalia kwa sababu kazi kubwa nimeimaliza ingawa finishing ni ngumu sana kama unahela za kuunga unga ila Mungu ni mwema.

View attachment 2674153

Hata hivyo kabla sijahitimisha makala hii ni kwamba hata kama utafanikiwa kufanya mambo yako nguzo kubwa ipo kwa mke ukimtumia hela ukakuta ametumia tofauti na maelekezo yako my friends jipigepige kifua sema Mungu kwanini umeyaruhusu haya. Yaani malengo lazima yatimie kwa kushirikiana kwa muda hata kama mtapishana ila hamtoki kwenye mstari wenu.

View attachment 2674127

Credit: jumanne255.com

Hongera sana

Lakini nakukumbusha maendeleo hayatangazwi jifunze kukaa kimya
 
Umetumia bei gani mpaka kumaliza?.
 
Halafu unakuta hapo mkeo anahamia kwa mchizi kisa ghetto lake lina king'amuzi cha Azam, usijisahau mkuu.

Kudos
 
Hongera sana!
 
Hongera sana

Lakini nakukumbusha maendeleo hayatangazwi jifunze kukaa kimya
Wala sioni kosa kufanya hivi wala sijivuni kwa maisha yangu haya, kitu pekee nachoshukuru mawazo haya niliyatoa humu na niliomba ushauri pia niliwahi kushukuru baada ya kufanya jambo ambalo nilitoa kwenye ushauri kwa JamiiForum hivyo niko hapa kwa maisha mengine wala sipo kumsimanga mtu unaweza kuishi maisha ya raha kumbe unashida nyingi tu.

Mimi naishi maisha ambayo nafuraha nayo nikikosa nafuraha nikipata nafuraha ndio maana naendelea kushukuru kwa kila hatua.

Kama hukupata kusoma Thread za mwanzo soma hapa✏ Nina kiasi cha shilingi million 7,500,000 itamaliza ujenzi wa vyumba 3

Na hii pia soma nikiipost hapa hapa jamiiForum
Nawashukuru sana wana Jamiiforums, mipango ilianzia hapa na hoja na mawazo niliyapatia hapa hakika tunaishi kwa upendo sana!
 
Safi sana, watangazie sana kama namna gani hawa wa JF wakanywe sumu, na wale majirani zako watajiju, dude hili hapa mbele ya vibanda vyao, wasikuchoshe hawa wenye imani za kishirikina
Lakini, usinge piga ripu, umeharibu kila kitu, ungeacha vilevile ya kuchoma, Classics
 
Back
Top Bottom