Inapangishwa: Nyumba (Self-contained) ipo Kitunda Kivule Matembele ya 2

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,549
12,413
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master

Pia ina;
  • Sitting room (Kubwa)
  • Dining Room
  • Jiko kubwa
  • Stoo kubwa
  • Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA

Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo

Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470

Karibuni

Picha Mjongeo!
 
Attachments

  • Nyumba Kivule Matembele 2.mp4
    14.9 MB
Nyumba ikpo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master

Pia ina;
  • Sitting room (Kubwa_
  • Dining Room
  • Jiko kubwa
  • Stoo kubwa
  • Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA

Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo

Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470

Karibuni

Picha Mjongeo!
one million/ month?
 
Hii yenye paving huko huko 350,000 hata hii bei kubwa kwa kivule nayoijua
Screenshot_20230706-144509.jpg
 
Ni ghali sana hata ingekuwa mikocheni au mbezi beach isingefila 1 M kwa mwezi labda hamjaelewana na land lord
Possibly, kiukweli ni jirani yangu kule Arusha, yy sio mtu wa mitandao kbs, nikasema nimsaidie ku publish...any way nashukuru kwa concern nitaifikisha!
 
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master

Pia ina;
  • Sitting room (Kubwa)
  • Dining Room
  • Jiko kubwa
  • Stoo kubwa
  • Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA

Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo

Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470

Karibuni

Picha Mjongeo!
Wewe jamaa hauko serious yaani mtu alipe million 1 kwa mwezi nyumba ya kupanga Kivule?
 
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master

Pia ina;
  • Sitting room (Kubwa)
  • Dining Room
  • Jiko kubwa
  • Stoo kubwa
  • Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA

Mpangaji ataweza kufanya shughuli yoyote isiyo ya kudumu kwenye eneo la wazi la nyumba hiyo

Bei 1,000,000 (Negotiable) kuanzia kodi ya Miezi 3
Mawasiliano (Mwenye Nyumba) 0754 512-470

Karibuni

Picha Mjongeo!
Cunningham's Law..
 
jamaa yangu alipanga kitunda relini vyumba viwili na seble plus jiko kwa 180k tena kitunda relini sasa kivule 1m mzee duh wakati sku hizi ukiwa na 500k au 600k unapata nyumba nzuri tu kkoo ya kupanga
 
Ila mjomba una utani na hela,,,mwaka 2021 niliendaga Mwandege nyumba kali kichizi ilikua 150k yaani ni nzuri halafu Kama Km 1½ kutoka road.
 
Hahahahahahaaa!! Na mbweni,mbezi ingekua bei gani?
Kweli kitunda itakua kitunda chenyewe tu
 
Back
Top Bottom