nyumba

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Wananchi Sengerema wapinga kubomolewa nyumba zao bila fidia

    Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo: 1. Watafanya upimaji hivi karibuni 2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
  2. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  3. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Magomeni, Makuti A

    Nyumba inauzwa Magomeni Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo Documents: Mirathi Skwata Meter 120 main road, tandale road. Bei 125milioni (mazungumzo yapo) Nipigie +255712347749 +255765755455
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

    Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
  5. Miss Mbeya

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba ipo Mbeya

    E
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea: Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
  7. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Inapangishwa: Nyumba (Self-contained) ipo Kitunda Kivule Matembele ya 2

    Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76 Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000 ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master Pia ina; Sitting room (Kubwa) Dining Room Jiko kubwa Stoo kubwa Ina eneo kubwa la wazi Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA Mpangaji ataweza kufanya...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Wahamiaji washambuliwa na kufukuzwa kwenye nyumba

    Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto. Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa na mauaji ya raia wa Tunisia yaliyotokea wakati wa makabiliano na Wahamiaji kadhaa, Julai 3, 2023...
  9. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

    Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo. Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa bunge hili nyumba ndogo ya serikali, kwanini tusilifute au kulibinafsisha kwanza?

    Kazi za bunge lolote duniani ni kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi, Pili, ni kufanya kazi kwa niaba ya wananchi, Bunge hutoa amri kwa serikali na siyo serikali kutoa amri kwake, Tatu, bunge hutunga sheria kwa mujibu wa matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka, Nne, bunge...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzima yateketea kwa moto Kyela. Hakukuwa na msaada wa zimamoto hakuna kilichookolewa

    Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela. Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji. Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Wazanaki yanogesha maonesho ya 77 ya mwaka 2023

    Na. Sixmund J. Begashe Nyumba ya asili ya kabila la Wazanaki iliyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam Maarufu kama Saba Saba. Makundi Makubwa ya wanaofika katika...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nyumba hii nimeijenga kwa miaka mitatu

    Ilikuwa Tarehe 02/09/2020 nilifanya maamuzi ya kununua eneo la makazi yangu Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mamlaka ya mjimdogo Katoro, kitongoji cha Inyala, Kata ya Nyamigota. Baadae nilipata pesa kidogo nikajisemea kwa umri wangu huu ndio muda wa kutafakari na kuweka familia pamoja kabla...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

    Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea. Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres). Mahali: Chamazi, karibu na Azam Complex. Inafaa kwa: Makazi na/au biashara Contact person : 0693 750 391/0711 751 197 (Mr Ngunga)
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uiolewa usikubali kupewzmasharti, wala kumfulia, kumpikia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl.

    Wewe
  18. Jeremy Geoks

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba (majengo) pamoja na ujenzi

    Ramani ya Ukumbi/Venue Unauwezo wa kuhudumia watu 400 Pia Tunatoa huduma zifuatazo ◇RAMANI NA UJENZI ◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI ◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ) ◇USIMAMIZI WA UJENZI Wasiliana nami +255 654 132 000 hummertimebuilders@gmail.com Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji kijana wa kusimamia nyumba yake au mradi kijana muaminifu yupo.

    UPDATE: kafanikisha
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
Back
Top Bottom