nyumba

  1. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukijenga nyumba Vikindu na Mbagala hata iwe ya kifahari itakuwa ya kishamba tu?

    Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima itaonekana ina kasoro? Maana utaskia mtu anasema "daaah mjengo mkali ila upo mbagala' "Mjengo mkali...
  2. Poker

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maajabu Masaki!

    Hello 👋 brothers n sisters Good afternoon! Tuanze na huu mkasa hapa fuatana nami hadi mwisho. Kuna nyumba hapa Masaki location x, ni ghorofa ya floor moja tuu ndani ina swimming pool, car parking, ina mifumo ya cctv na iko fully furnished. Mmiliki wa hii nyumba ni marehemu Deborah mwenyeji wa...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

    Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa . Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  6. Brightly

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  8. King snr

    JamiiForums Tanzania Hatua na maandalizi muhimu ya kujenga nyumba

    Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani nimeshindwa kuelewana ile michoro hasa ya ground floor. Hivi wazee wetu zamani wakati wanajenga walikua...
  9. Brightly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  10. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya nyumba

    Wanajamvi vipi? Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi. Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake. Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Walioguswa na Mradi wa Bomba la Mafuta Nkomelo wakabidhiwa nyumba zao mpya

    Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu. Nyumba hizo...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Alipotea kimazingara, akutwa kwenye nyumba ya mtu akiwa amekatwa ulimi

    Video hizi zinaonesha tukio la binti anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 akiwa ndani ya jumba la kifahari linalomilikiwa na huyo mama mwenye baibui nyeupe, inasemekana binti alipotea kimazingara na huyo mama anasadikika kuwa ni mwanga. Binti amekutwa hawezi kuongea kwakuwa amekutwa amekatwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Wizi nyumba za ibada tishio

    Matukio ya uhalifu katika nyumba za ibada yamewaibua viongozi wa dini na wanasaikolojia, huku lawama zikielekezwa kwa viongozi hao. Kwa mujibu wa wanasaikolojia, mahubiri yao yamejikita katika masuala ya ndoa, kazi na utajiri badala ya tabia njema. Licha ya utitiri wa nyumba za ibada...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kununua nyumba au kiwanja cha mirathi documents gani za msingi za kujiridhisha kabla ya kununua

    Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa Kama mnunuaji wa nyumba/kiwanja Cha mirathi hiyo. Nimetanguliza swali hili kutokana na story yangu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Mkuu wa Wilaya akataa kuishi kwenye Nyumba ya Serikali akidai haina uzio. Anaishi hotel ya Burigi. Haya mambo hapo nyuma yalisahaulika

    Nyumba hii imekuwa ikitumiwa na wakuu wa wilaya wote waliopita. Inashangaza Deudedith Katwale baada ya kuteuliwa ameikataa. Sasa serikali inalipa pesa nyingi kila Mwezi. Kama ni ishu ya seng'enge bora aweke ahamie huko. N:B nimepigiwa simu na mtu anaeishi Chato.
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nyumba niliyokuwa naisifia, leo nimeletewa jipya

    Hii nyumba nilijiona ni kama nina bahati ya kupangisha hapo maana toka nihamie huu ni mwezi wa tatu lakini sijawahi nunua umeme na kodi nimelipa tu ule mwezi wa 2 nyuma sikulipa lakini kwa habari nilizozipata. Nitawaletea mrejesho nikisha fanikiwa kuhama maana nasikia ukishapangisha hapo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mkopaji aishtaki Akiba Commercial Bank (ACB) kwa upotevu wa hati ya nyumba

    Benki ya biashara ya Akiba (ACB) imeburuzwa mahakamani na mteja wake, Aisha Abubakar Hassan baada ya hati yake ya nyumba aliyoiweka dhamana ya mkopo kupotea. Kwa mujibu wa hati ya madai aliyofungua Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mfanyabiashara huyo wa vipodozi alichukua mkopo wa Sh30...
  20. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

    Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale. Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia ufanyaji kazi bado wa kusubiri hela advance kwa mteja hafikirii kabisa kuwa na store kubwa utakayotoa...
Back
Top Bottom