Tunisia: Wahamiaji washambuliwa na kufukuzwa kwenye nyumba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto.

Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa na mauaji ya raia wa Tunisia yaliyotokea wakati wa makabiliano na Wahamiaji kadhaa, Julai 3, 2023.

Inadaiwa baadhi ya Wahamiaji wameshambuliwa kwa panga na kulazimika kuukimbia mji huo unaotumiwa na watu wanaotaka kuingia Umoja wa Ulaya kwa kusafiri kuelekea kisiwa cha Lampedusa nchini Italia.

#####

Migrants attacked in Tunisia and 'thrown off balconies'

Migrants from sub-Saharan Africa have been attacked in the Tunisian city of Sfax, with dozens reportedly wounded.

The unrest was triggered by the killing of a Tunisian man on Monday during an altercation with several migrants.

A non-governmental group said that in reprisal attacks, some migrants were thrown from balconies and others attacked with swords.
Women and children were among those targeted.

Witnesses say that dozens have been forced out of the city, which is a key departure point for people seeking to enter the European Union by sailing to the Italian island of Lampedusa.
 
Back
Top Bottom