nyumba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

    Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi? Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi...
  2. beatboi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  4. J

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ziara ya Chongolo yampa nyumba Balozi wa Nyumba Kumi

    ZIARA YA CHONGOLO YAMPA NYUMBA BALOZI WA NYUMBA 10 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya makazi ya Mwenyekiti wa shina (Balozi) namba saba katika Kijiji cha Ilambilole Kata ya Kising'a iliyopo Jimbo la Isimani katika...
  5. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwanahistoria Francis Daud Alipotembelea Nyumba ya Ali Msham Magomeni Mapipa

    MWANAHISTORIA FRANCIS DAUD ALIPOTEMBELEA NYUMBA YA ALI MSHAM MAGOMENI MAPIPA DAR ES SALAAM Historia ya Ali Msham ni katika historia zinazosisimua za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa hali na mali zao lakini historia imewasahau. Lau kama si picha alizoacha Ali Msham baada ya kifo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba zinapangishwa Kisota Kigamboni

    Nyumba mbili zinapangishwa Kisota Kigamboni, barabara ya Damian Do Amsi Road, Kilometa 8 kutoka Feri). Nyumba moja ni ya vyumba 3 (self-contained with a master bedroom). Nyumba nyingine ni chumba kimoja cheny sebule, jiko na choo ndani. Nyumba zote ziko ndani ya uzio mmoja na kila moja ina mita...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jifunze kwa mpangaji wa nyumba yako na sio kumfanyia visa

    Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake. Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako. Hii sio sawa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Nyumba yapigwa mnada kwa kushindwa kulipa milioni 7

    Dar es Salaam. Familia ya Festo Aaron, inayoishi Kimara Bonyokwa iko njia panda baada ya kukosa makazi kutokana na nyumba yao kupigwa mnada na taasisi ya Uwezo Financial Service kwa kushindwa kurejesha deni la Sh7 milioni. Mwaka 2020 familia hiyo yenye watoto watano ilikopa Sh6 milioni katika...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  11. kabugira

    JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  13. Mparee2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa nyumba kali kushinda zote pale. Iwe kali mpaka watu waseme nimejiunga Freemason, wazushe humo ndani...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  17. jastertz

    JamiiForums Tanzania Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

    Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa. Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea. Unaona mwamba/demu kaingiza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  19. lukatony

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  20. K

    JamiiForums Tanzania Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
Back
Top Bottom