katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja ambae anasemekana kuwa ni askari police, huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
Morning
Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa nina mke mzuri alikuwa anakuja kunisalimia mara kwa mara nakaa nyumba kubwa uku nyuma ya nyumba kuna msimamiz wa nyumba ni mwanamke
Sasa mara kwa mara akija wife huwa nakuwa na vitu vingi sana sasa leo nimepigiwa simu kuwa nihame wanataka kufanya...
Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police
Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers.
Addressing the media on Friday night...
Tanga. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiwashikilia watuhumiwa 11 kwa makosa ya utapeli kwa njia ya mandao, majirani katika nyumba waliyokuwa wakiishi watuhumiwa hao wamesema wakiwa humo walikuwa na utamaduni wa kufungua muziki kwa sauti kubwa.
Pia wanadai watuhumiwa waliokuwa wamepanga...
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa...
Nyumba ipo morogoro kihonda
Km 1 na nusu kutoka dodoma road.
Nauli kutoka morogoro mjini 500
Ina vyumba vitano,kimoja master.
Ukubwa kiwanja mita 25 kwa 20.
Milioni 35.
Mazungumzo yapo
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa...
Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo:
1. Watafanya upimaji hivi karibuni
2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
Salaam....
Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.
Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.
Wewe ni Graduate au...
Nyumba inauzwa Magomeni
Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo
Documents: Mirathi
Skwata
Meter 120 main road, tandale road.
Bei 125milioni (mazungumzo yapo)
Nipigie +255712347749 +255765755455
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.
Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
Andiko la Mdau wa kutoka Goba kuhusu watu wanaotaka kupora nyumba yao baada ya baba yao kupotea:
Usiku wa kuamkia leo Alhamisi Julai 6, 2023 kuna watu wamevamia katika nyumba yetu iliyopo Goba, Mtaa wa Kiburuni, Dar es Salaam na kuanza kuvunja sehemu ya nyumba, ikiwemo madirisha na milango...
Nyumba ipo kwenye eneo kubwa la uwanja wa 35x76
Ina kisima na tank la ujazo wa Lt 7,000
ina Vyumba Vitatu vya Kulala Kimoja ni Master
Pia ina;
Sitting room (Kubwa)
Dining Room
Jiko kubwa
Stoo kubwa
Ina eneo kubwa la wazi
Nyumba ipo umbali wa Km 5-7 hadi Airport-JNIA
Mpangaji ataweza kufanya...
Wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wameshambuliwa katika Mji wa Sfax huku zaidi ya 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo Wanawake na Watoto.
Machafuko hayo ya kulipiza kisasi yamechochewa na mauaji ya raia wa Tunisia yaliyotokea wakati wa makabiliano na Wahamiaji kadhaa, Julai 3, 2023...
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani.
Nikasogea...
Habari,
Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo.
Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
Kazi za bunge lolote duniani ni kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi,
Pili, ni kufanya kazi kwa niaba ya wananchi,
Bunge hutoa amri kwa serikali na siyo serikali kutoa amri kwake,
Tatu, bunge hutunga sheria kwa mujibu wa matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka,
Nne, bunge...
Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela.
Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji.
Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
Na. Sixmund J. Begashe
Nyumba ya asili ya kabila la Wazanaki iliyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam Maarufu kama Saba Saba.
Makundi Makubwa ya wanaofika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.