Habari wadau,
Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni
Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.
Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.
Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA
Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.
Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa
Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba vyote.karibuni.mawasiliano 0758248358.nb hakuna dalali
Hello habari wana jf
Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana
Yani hii tabiia inani boa sana
Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado.
Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga
Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji
Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe.
Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
Kumekuwa na mijadala mingi juu ya nyumba zilizoezekwa kwa mtindo wa kuficha paa la nyumba, ilionekana nyingi zinavuja sana. Mimi mwenyewe nikiwa mhanga wa jambo hilo.
Nyumba ilikuwa ikivuja sana kwenye gata utadhani hapajaezekwa. Nikawa najiuliza inakuwaje gata linavuja hivyo?
Nikamuita fundi...
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
Habari.
Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka.
Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.