nyumba

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  4. Franchesco1346

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA Eneo ukubwa : 448 SQM Jiko Two bedroom ( one master) Dinning Open kitchen Public toilet Location: Madale mbopo Bei : 20,000,000 Negotiable 1.5km from madale road ( Lami ) Wasiliana nasi +255742749886 /0694465982
  5. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Uwiano sahihi kati ya mchanga na cement mfuko mmoja kwa ajili ya kuchapia nyumba

    Ety wakuu,, hivi ratio nzuri kati ya Cement mfuko mmoja(Kg 50) na mchanga ni kiasi gani kwa matumizi ya kuchapia nyumba(Plaster). Maana nataka ukuta ulio imara zaidi hata msumari husiingie.. Hawa mafundi wa Mtaani wengi ni Ovyoovyo..
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Iringa: Akamatwa na meno 7 ya tembo katika nyumba ya kulala wageni

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye nyumba nimempa kodi kwa ajili ya kumalizia pango, ni muda umepita hajakamilisha ukarabati

    Habari ya mdaa huu viongozi mnaendeleaje, mrejesho. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni pia mbarikiwe Wana jf wote Kwa mawazo ushauli n.k nilikuwa kwenye wakati mgumu sana lakini hatimaye solutions imepatikana Kwa kuanza na service ambazo zimebaki na mda si mrefu kuanza na kazi katika eneo Hilo
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi NHC: Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma umesababisha hasara kwa Shirika la Nyumba

    Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Hamad Abdallah amesema uamuzi huo umekuwa na matokeo hasi kwa miradi iliyopo Dar es Salaam zikiwemo nyumba na mali nyingine zilizokuwa zikitumiwa na Serikali na Maafisa wake zimeachwa wazi. Kati ya Miradi iliyotajwa kuingia hasara ni pamoja na wa...
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji. 👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji. 👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁...
  12. I

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained ▫Sitting room zipo mbili chini na juu ▫Dining room ◇ Kitchen ◇Store ▫ Public toilet ▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1377 ◇document clean TITLE DEED (Hati miliki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waandamamaji wapanda juu ya paa la nyumba ya Waziri Mkuu. Hapa Tanzania hata Dp world wauziwe nchi hamuwezi kuthubutu

    Wanaharakati wamefunika sehemu ya mbele ya jengo hilo kwa kitambaa cheusi Wanaharakati wamepanda juu ya paa la nyumba ya waziri mkuu katika eneo bunge lake la NorthYorkshire kupinga vibali vipya 100 vya mafuta na gesi ya Bahari ya Kaskazini. Wanaharakati hao wa Greenpeaceiwalisema walikuwa...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujenga nyumba yako bila stress au kuvunjika moyo: vigezo vya kumchagua fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubora

    JINSI YA KUJENGA NYUMBA YAKO BILA STRESS AU KUVUNJIKA MOYO: VIGEZO VYA KUMCHAGUA FUNDI WA UJENZI MWENYE UZOEFU NA UBORA Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kwamba uchaguzi wako wa fundi wa ujenzi unaweza kuathiri sana ubora na gharama ya nyumba yako? Kama unataka kujenga nyumba yako, ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  17. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Huyu mpangaji mwenzangu nashindwa kunielewa

    habari za leo I hope nyoote hamjambo. wakuu kwa wale wenzangu na mimi ambao bado tunajitafuta yaani tunaishi kwenye nyumba za kupanga mnawezaje kuishi na wapangaji wenzenu wanaotaka kujua maisha yako kindaki ndaki? iko hivi mimi ni kijana na nina miaka 26, na nina mke japo hatujapata mtoto na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Achoma nyumba kisa kuachwa

    katika kile kinachoonekana kama kuongezeka mtaani kwa vichaa wasiojishughulisha kuokota makopo,kijana mmoja ambae anasemekana kuwa ni askari police, huko katika kata ya Bwanga,Chato ameichoma nyumba ya wazazi wa mke wake baada ya mwanamke huyo kumuacha na kutokomea sehemu isiyofahamika
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba anataka nihame

    Morning Nipo zangu mkoa napigiwa simu kisa nina mke mzuri alikuwa anakuja kunisalimia mara kwa mara nakaa nyumba kubwa uku nyuma ya nyumba kuna msimamiz wa nyumba ni mwanamke Sasa mara kwa mara akija wife huwa nakuwa na vitu vingi sana sasa leo nimepigiwa simu kuwa nihame wanataka kufanya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mtoto wa Uhuru Kenyatta yadaiwa kuvamiwa na Polisi

    Uhuru Kenyatta’s Son Jomo's Karen Home Allegedly Raided By Police Former President Uhuru Kenyatta now claims that his first-born son Jomo's residence in Karen was on Friday raided by mysterious individuals who identified themselves as police officers. Addressing the media on Friday night...
Back
Top Bottom