nsssf

  1. Replica

    TALGWU: Kikokotoo ni fumbo, uzima ni majaaliwa. Tupewe hela zetu zote tukafie mbele

    Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona. Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...
  2. Z

    Kwa nini NSSSF isichue bandari ya Dar es Salaam?

    Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biashara muhimu ya bandari ya Dar es Salaam? Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi. Hata sisi tunaweza, kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF, wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
  3. Mparee2

    NSSF kusitisha huduma ya matibabu ya mwanachama kutoka Shirika binafsi baada ya kustaafu haiingii akilini

    Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake. Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
  4. C

    NSSSF wanavyotuumiza wanachama

    Habari ndugu jamaa na marafiki. Nilikuwa mfanyakazi katika taasisi binafsi hapa mkoani nimefanya kwa muda wa miaka miwili, ingawa ndoto zangu zilikuwa ni kujiajiri ktk biashara kwa hiyo niliweka target ya kufanya kazi kwa muda ili nipate mtaji wa kuanzia business. Mwez wa pili mwaka huu...
  5. Mparee2

    Utalii na Corona - Ikiwapendeza NSSSF itapunguza makali kwa wafanyakazi

    Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
Back
Top Bottom