Kwa nini NSSSF isichue bandari ya Dar es Salaam?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,652
1,895
Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biashara muhimu ya bandari ya Dar es Salaam?

Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi. Hata sisi tunaweza, kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF, wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
 
Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biasha mhimu ya bandari ya Dar es salaam?

Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi.hata sisi tunaweza.kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF .wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?
Kwanza project zao nyingi ni hasara kwa wenye pesa yao.
 
Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?
Kwanza project zao nyingi ni hasara kwa wenye pesa yao.
NSSF ni pension scheme in hela nyingi sana kwa kuwahudumia wastaafu. Kinachofanyika DPWorld Tanzania itauza hisa za Serkali DSE ndipo NSSF watawekeza.

Dubai wawe na 60%, Serkali 15% Treasury Registrar, na 25% iko soko la hisa. Huu ndiyo mtindo wametumua Dubai, UK, India, Rwanda na Holland hakuna jipya.
 
Hii nssf ambayo ili wastaafu wapewe pesa yao yani jasho lao mpaka watoe rushwa na kuzu gushwa kweli?
Kwanza project zao nyingi ni hasara kwa wenye pesa yao.
Tanzania tuna ombwe la uongozi. Hili la sekta, mashirika na kila kitu kinachoendeshwa kufeli ni matokeo ya hili ombwe. Uongozi hautaki kukubali kuwa ndiyo tatizo na badala yake wanataka watu waamini tatizo ni hizo organs! Tukitaka kupata mafanikio ni lazima tuanze kubadisha uongozi. Kama ni ubinafsishaji basi tuanze na urais na mawaziri ili kumaliza tatizo.
 
Daraja lao tu hapo kigamboni wana mbwelambwela wataweza bandari
Na kulipa watu mafao yao tu kizungumkuti

Ova
 
Back
Top Bottom