Utalii na Corona - Ikiwapendeza NSSSF itapunguza makali kwa wafanyakazi

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,572
4,245
Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda gani.

Kama itaonekana inafaa, ningependekeza
Kuanzishwe utaratibu wa dharura wa kuwakopesha wafanyakazi (waadhirika) kiasi cha mafao yao mfano kati ya mil 2 na milioni 10 kulingana na makusanyo ya mfanyakazi.

Na hii ingefanyika kwa mfanyakazi kupeleka barua rasmi (mkataba) ikionesha kuwa anaomba apewe kiasi kadhaa cha hela yake ambacho kitakuja kukatwa mwishoni anapo staafu.
 
Ni wazo zuri ila sio kwa nchi kama Tanzania, kiufupi halitekelezeki.

Kama hiyo michango yako mwenyewe baada ya kuachishwa kazi utasugua soli za viatu mwaka mzima na hupati halafu eti wakukopeshe nani kakwambia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom