ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka

    Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya wanawake wameshiriki ngono na wanaume ambao sio wenza wao na wala hawaishi nao. Kati ya hao, asilimia 22 walitumia kinga mara ya mwisho waliposhiriki ngono na watu hao. Kwa upande wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. πŸ‘‰Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
  3. JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Netflix documentary ya The Backhams ina funzo kubwa sana ya ndoa za kisasa zinapaswa ziweje.. modern life ndoa inapaswa muendane sana

    Habari wadau Muda si mrefu nilikuwa natazama documentary ya familia ya beckham Netfilx inayokimbiza sana huko netflix nikajifunza vitu kuhusu ndoa za kisasa 1. Wanandoa mnapaswa mfanane.. yaani mwanamke awe female version ya huyo mwanaume and vice versa. Hii namaanisha mwenza anapaswa awe na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Wadau nipeni mix ya dawa za kumvuta mke ambae yuko mbali na hataki kurudi
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    πŸ€—
  8. JamiiForums Tanzania Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa ni agano la milele

    NDOA NI AGANO LA MILELE Neno la Mungu linasema, MATHAYO 19:3-12 "Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu? Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, Akasema, Kwa sababu hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. AnΓ andika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  11. JamiiForums Tanzania Video Clip: Fumbo la Ndoa

  12. JamiiForums Tanzania Si niliwambia msioe:- Kuna mwanamke anaenda kuangukiwa na chuma kizito kisa ndoa..!!!

    INTRODUCTION... Za muda Wana JF ....... Unaukumbuka mkasa huu wa John, Michael na Mkewe.... https://www.jamiiforums.com/threads/nikiwaambia-msioe-muwe-mnasikia-kwa-miezi-4-mwamba-kaishi-maisha-magumu-bila-mshahara-kumbe-mkewe-ana-laki-8-ndani-na-usaliti-juu-kaambulia.1925237/ MAIN BODY...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake NENDENI kwenye makambi ya wanawake wa kilokole mponye ndoa zenu

    Jamani bila kuchelewa NI hivi,siku HIZI unyago hakuna. Ikiwepo siku moja,mbili. Nawashauri,NENDENI kwenye makongamano ya wanawake wa kilokole jamani,Kuna Mambo kuhusu mahusiano mpaka ndoa yaaani NI πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Nakwambia mabinti Wana masomo Yao,walioolewa Wana...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Lilian Mnabwiru: Kitaalam inashauriwa kwenda kukojoa baada ya kumaliza tendo la ndoa

    Dkt. Lilian Mnabwiru, Bingwa wa Magonjwa ya Kina Mama na Masuala ya Uzazi, Muhimbili anasema Urinary tract infections (UTI) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na moja kati ya njia au sababu zinazoweza kusababisha maambukizi ni wakati wa kujamiiana hasa kama mazingira si masafu. Ameyasema hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  17. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

    Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married. In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…