Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
781
1,356
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
 
Yaaani hamjamliza hata mwaka ushamchoka?
Hebu tueleze, uliingiaje kwenye hiyo NDOA
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?

Mwambie tu ukweli kuwa Unahitaji kuachana naye kwa sababu unahitaji kutuliza akili yako na kuwa Karibu na Mungu zaidi

Hakikisha haugombani naye na akihitaji vitu au kitu ebu mpatie tu aende salama .

Then kitu kingine wanawake ni watu wa visasi hakikisha unakaa naye mbali Sana Kama unapanga Hilo eneo unaweza kuhama ili kuwa safe. Kimwili na kiroho
 
Nimeingia kwa njia halali kabisa, sikulazimishwa ila sina furaha kabisa. Nadhani unaelewa
Hujajibu swali ipasavyo...yaani howezekani ndoa haina mwaka Halafu unasema hakuvutii...ulifanya maamuzi ya kumuoa Kwa msukumo gani?
Ulifikiri umeokot malaya Uñaenda nae short time?!
Tuliza akili la sivyo unajitengenezea maisha magumu kw Mika Yako michache utakayo ishi Duniani!
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Nini sababu?
Nini kikakukosesha furaha?
Nini kimebadirika?
 
Mbinu ni rahisi sana, mtafutie mtu amtokee na wewe kupata sababu/kisingizio kama hilo la kunyanduliwa na mme mwingine utalimudu...labda na yeye yuko humu na anasoma mbinu hizi hizi unazoomba...
 
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.

Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.

Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.

Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
No matter what is going usije ukamtakia hata siku moja mke wako maneno uliyo andika hapa never you will regret one day.
 
Mtu hajakufanyia kosa lolote, umemchoka kivipi yani, ndoa haina hata mwaka...!?, how ulichagua au ulichaguliwa, hebu jaribu kuvaa viatu vya huyo dada, af ufikilie tena hayo maamuzi kama wewe ndio unatendewa.
Ndoa ndivyo ilivyo ndo maana kuna kitu kinaitwa uvumilivu, usifikiri hata wazazi tulionao hawakuchokana, walichokana sana, ila mpaka leo wapo na maisha yanaendelea.
Mwisho: MKUU ACHA MAAMUZI YA KIJINGA, UTAYAJUTIA MILELE.
 
Mtu hajakukosea lolote na wala hana usumbufu kwenye maisha yako unadai umemchoka? Wewe jamaa ni mtu mshenzi mno kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia. Mimi nakushauri na wewe utafute mume uolewe kwasababu umeshapoteza sifa za kuwa mwanaume. Mwanaume hakinai hovyo. Au upo kwenye siku zako?
 
Back
Top Bottom