Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Naombeni ushauri wakuu.

Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.

👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.

Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?

Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.

Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.

Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).

Asanteni.
 
Naombeni ushauri wakuu.

Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.

Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.

Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?

Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.

Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.

Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).

Asanteni.
Mapenzi hayana ushauri... ishi na hii.. kupoteza hela kisa dem,ni kawaida... na dem kukupoteza kisa hela ni rahis sana..
 
Don't show love
Love will get you killed.

_20231107_170956.JPG
 
Back
Top Bottom