Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Awe na watoto wasiozidi wawili.
Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50, Nina watoto 1, kazi ni mfanyabiashara, dini ni Mkristo.
Natafuta mke mwenye miaka 25 mpaka 40. Awe Mkristo. Kama upo serious njoo in box tuyajenge
Wasukuma tunasema;
MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅
Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.
Ladies and gentlewomen,
I...
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe...
Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam.
Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA
NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA
Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani.
Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba
1. Innos b "avertisement"
2. Fally ipupa "Mh
3. Papa wemba "Emmanuelle"
4. Nyinginezo
Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu
Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern
🙏🙏
Sijui jina. Inaimbwa hivi.
Inapofika mwisho wa mwezi kasimu huonekani...
Ni nyimbo inayomzungumzia kasimu Kila akipata mshahara. Akifika mwisho wa mwezi anapotea. Hasa has alivyopata kazi.
Ni zilipendwa
Natafuta mabanda ya kukodi kwa ajili ya kufugia kuku wa nyama (broiler) yenye uwezo wa kuanzia kuku 1,000 au zaidi.
Maeneo ninayopendelea ni Dar es Salaam na Pwani. Ikiwa una banda linalopatikana kwa sasa au unafahamu mwenye banda la kukodisha, tafadhali wasiliana nami kwa ujumbe binafsi
Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa Dar,.
Hivyo kama kuna Winga unamfahamu ambaye ni mwaminifu mwenye ambaye tutafanya kazi nipewe...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa
Naishi Dodoma, nimeajiriwa
Elimu yangu ni ngazi ya shahada
Dini yangu ni Mkristo
Mwili wangu ni kawaida
Afya yangu ni njema
Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu
Dini yake awe mkristo
Mwili...
Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education).
Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana.
Sifa zangu kwa ufupi:
•📑...
Za jioni wadau...
Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.
Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu.
Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist
Hasa kwa Dar
Nataka wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.