Natafuta tretka right hand drive

Natafuta tretka right hand drive

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
1,455
Reaction score
3,213
Kwema wanajamvi!

Ebana watu wangu natafuta kununua trekta right hand drive (RHD) na yenye airbags.

Huu msimu wa masika umefanya vizuri sitaki unipite kizembe kwenye kilimo.

Please kama unafahamu nijulishe. Nahitaji sana.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.

adriz de mbusii
 
IMG_8357.jpeg

Hii, AC na Music Speaker za Bose.
 
Hapo cha kushauri chukua swaraj 744 nyota moja
Kwa sababu kwenye kulima tu naikubali sana hata kama ardhi itakuwa ya mbuga yenyewe inachakata tu (from my experience)
SWARAJ 744 NYOTA 4
Hii nayo ni moja kati ya trekta nzuri sana
Inatumia stering ya upepo(hydrolic) pia kama kuliama ipo vizuri sana lakin haifiki kwenye nyot moja.
Pia kuna NEW HOLLAND and MASSEY pia zipo vizuri sana.
Maoni yangu hayo.
 
Mkuu mimi nataka ya RHD na yenye airbags
 
Kwema wanajamvi!

Ebana watu wangu natafuta kununua trekta right hand drive (RHD) na yenye airbags.

Huu msimu wa masika umefanya vizuri sitaki unipite kizembe kwenye kilimo.

Please kama unafahamu nijulishe. Nahitaji sana.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.

adriz de mbusii
Acha bangi qengeh we!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom