Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Welcome MkuuNa unaoa next week😎
Kwanini lakini?
Duh!ukipata zaidi ya buku nipasie upande huu mwanetu
Haha 😆Duh!
dear rrondo unaweza kuniambia kinacho kusikitisha? au kukushangaza? why "Duh!)Duh!
Jamaa anapicha nyingi sana Hadi ya mishangazi Kuna siku nilimuuliza mke wake akishika simu yake atalia sanaHivi hutu tupicha picha huwa unatuokota wapi mkuu 😁
Duh! Sasa hio p kwenye jina langu imetoka wapi?dear prondo unaweza kuniambia kinacho kusikitisha? au kukushangaza? why "Duh!)
itakua imejityp maana mimi bado mgeni kwenye hizi simu janja,, sorry weka R basiDuh! Sasa hio p kwenye jina langu imetoka wapi?
Unanikumbusha rafiki yangu winliciousitakua imejityp maana mimi bado mgeni kwenye hizi simu janja,, sorry weka R basi
Utaisikilizia kwenye gazeti
ooh pole na hongera kwa kumkumbuka rafikiyo, hope anakukumbuka piaUnanikumbusha rafiki yangu winlicious
Ooooh mwanangu makebo. Hujambo??