Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

Leo mida ya jioni nilimuona kunguru akiwa amekatwa mguu mmoja.

Sio siri nilijisikia vibaya kwa sababu najua hakutotolewa hivyo.

Ila kuna watu kama mleta mada watakua wamefanya yao.
lol mimi sio mtu mbaya ni mtu mwema tu ndo maana nawataka wazima
 
Back
Top Bottom