natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha

    Habari za wakati ndugu zangu, Poleni sana na mahagaiko katika upambanaji wenu , wakuu Niende kwenye mada yangu natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha wanapatikana wapi? Maana napitia magumu sana wakati huu mbele sioni naona Giza tu sielewi Kazi Sina, elimu nimeishia la saba, mausiano...
  2. sanzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint. Naombeni sana sana wakuu wajukwaa mnisaidie kazi , nipo willing kufanya kazi yeyote na mahali popote , pendekezo ni DSM na Arusha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Songea

    Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka kutumikia jamii na taifa namba 0762472799 Email mustaphakomba2003@gmail.com
  4. kijiwesports

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi

    Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia nimesoma graphic designer kama kuna taasisi au mtu binafsi naomba unishike mkono kutoka na fani zangu...
  5. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Business Partner Kwa Mtaji wa TSh 100M Tunaweza Pata faida ya TSh 300M hadi Tsh 350M kwa Mwezi.

    Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%. Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake. Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
  6. Tumbili in town

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuwa naye

    Andika umri wako na mahali ulipo. N.b usizidi miaka 22 N.b kama single mother uwe mzuri N.b ujue nahitaji nini kwenye mahusiano N.b ujue kupenda N.b nitakupenda na kukujali
  7. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania vitabu adimu , Navipata wapi? Mnunulie kijana wako w chuo.

    Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana. Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu. Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi? 1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa) 2.Tutarudi...
  9. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanasheria Anaejielewa Haraka iwezekanavyo Dar Es Salam

    Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
  10. Ngunya1

    JamiiForums Tanzania Natafuta rumion

    Habari wakuu natafuta rumion iwe kwnye hali nzuri sana bajeti yangu haizidi 12 million kwa mwenye nayo karibu PM
  11. the big fish

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Natafuta bampa liwe jipya au used la gari aina ya chaser avante au gx 100 mwenye nalo tuwasiliane Natanguliza shukrani...
  12. Exformer

    JamiiForums Tanzania Ona wasifu wangu, natafuta kazi/internships kwenye NGOs, CBOs N. K

    EDUCATION : BA in Community Economic Development (BA-CED) - 2022 EXPERIENCE : 2+ working in international NGO World Vision Tanzania (DODOMA&KIGOMA) FIELD: Community Engagement Officer and Resilience and Livelihood Officer (bith internships) SKILLS : Data collector/Enumerator under different...
  13. True Man11

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wa saluni ya kike

    Habari za majukumu, nimefungua salon mpya ya kisasa ya kike ambayo nalenga kutoa huduma zote za urembo wa kike kama vile, kusuka make-up facial Kupaka rangi kuosha miguu na nyinginezo nyingii salon ipo kimara suka - dar es salaam, kama wewe ni mjuzi wa hizo huduma au unafahamiana na mtu...
  14. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  15. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
  16. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YEYOTE HALALI NIPO DAR

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  17. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZ YEYOTE I HALALI

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, iwe dukani, kampuni au udalali

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  20. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1–11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700‑15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4‑2133MHz / PC4‑17000 SO‑DIMM ya laptop, 260‑pin 1.2V, Non‑ECC, Unbuffered...
Back
Top Bottom