Weka offer yako utanunua kwa bei ganHabari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
Wapi zipo mkuuKuzipata hizo ni ngumu, tumia plate za chuma za kukodi
Ulizipata mkuu?Habari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
Mm nahitaji? Je uko nazo.Ulizipata mkuu?
Sina mkuu,Mm nahitaji? Je uko nazo.
Kazi ni kipimo cha utu
Ulizia kwa mafundi ujenzi watakupa maelekezo.Wapi zipo mkuu
Asante kwa elimuUkizi compress nyingi ni marine board,
Na ukizi compress chache ni plywood.
Means hapo unatengeneza mpya. Sisi hapa tunaulizia used.
Sikuzipata, ilibidi nifanye maarifa mengine kukamilisha mradiUlizipata mkuu?