Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

Natafuta kazi, nina BSc Chemistry

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
643
Reaction score
576
Habari Wana jf.

Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
 
Maslahi ndugu
Kwq mkakat unaotumia huu itakuwq ngum kufanya transformation. Jipinde uongeze na kujiajir iuu yake mana ajira jf ya siku hiz mtihan kidogo. Sio kama miaka ile
 
Back
Top Bottom