Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

Jofreyma

Member
Joined
May 12, 2026
Posts
7
Reaction score
1
Habari wakuu,

Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja.
Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora.

Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure.
Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap 0718001641)

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom