natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa darasa pili

    Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo. Tunapendelea zaidi akiwa mwanaume,japokuwa hata wa kike anaruhusiwa kuomba nafasi hii. Mawasiliano...
  2. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Bolt

    Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0611 947177 Ahsanteni.
  3. kwaku the traveler

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hizi

    Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote, Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama karibu Dm kama...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dhahabu ya kununua

    Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm
  6. Walletking

    JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nimeota namkuna Miss Natafuta

    Miss Natafuta mwenyewe alikuwa mwembamba mrefu, mweusi tiii, kiuno chembamba, tacle amazing. Tulikutana kwenye mkutano fulani akanipa kimasiara. Baada ya game nikagundua anaitwa Miss Natafuta sijui ndoto ina maana gani.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  10. Room 28

    JamiiForums Tanzania Natafuta huu wimbo ameshilikishwa marehemu hussen jumbe KACHICHI album Sarafina

    Huu wimbo nimeutafuta miaka 5 bila mafanikio si mitandaoni si wapi!! Mwenye nayo hii album au baadhi ya nyimbo kwene hii album zawadi nono kutolewa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za matango pori

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza anayejua zibapopatikana aniambie.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Habari wadau, Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA. Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver. Kwa mwenye nafasi au taarifa...
  13. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

    Habari “Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni...
  14. Chaz Joe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari ! Natafuta kazi ya udereva wa magari ya abiria, taasisi au hata ya binafsi. Nina umri wa miaka 27 vyeti halali na leseni daraja D, C1, C2 na C3. Nina uzoefu wa miaka 3 katika udereva (NOAH + HIACE) Napatikana Morogoro, ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote ile. Kwa yeyote mwenye...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Original Content (OG) za Maisha ya chuoni

    Habari wanajamii, Nanunua Original Contents (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni. Maudhui ninayohitaji ni pamoja na: Burudani na maisha ya kila siku ya wanafunzi Elimu na maendeleo binafsi Mahusiano na changamoto za vijana Biashara na...
  17. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo

    Habari za usiku wakuu Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo nilitoka Tanzania wiki mbili zilizopita kupitia Julius Nyerere International airport hadi kampala nitakaa Kampala hotel ya 5 star kwa siku mbili then nikachukua basi Kampala kuja Beni japo nilikuta mpaka imefungwa ila nilipita sasa Niko...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vyuo vya sanaa ya uchoraji level ya diploma

    Habari wanajf. Natafuta Vyuo vya uchoraji Tanzania, Kuna mto anapend kuchora na anataka akasomee kozi inayohusiana na kuchora. So far nimeona kozi ya Performing and visual arts pale Tasuba itamfaa, ila web ya TASUBA naona haifunguki. Naomba mwenye Orodha ya vyuo vinavyotoa kozi zinahusiana...
  19. msomania1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
  20. Brex2

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
Back
Top Bottom