natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brex2

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  2. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

    Wakuu naomba msaada. Nina homa kwa siku 4 sasa. Mwili unachemka, viungo vinauma, najisikia mchovu sana na sina hamu ya kula. Nimemaliza dozi jana usiku lakini bado sijapata nafuu. Ningependa kujua kama kuna mtu amewahi kutumia natural remedies zilizomsaidia kupunguza homa, maumivu ya mwili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli siko tayari kwa ajili ya commitment, natafuta tu mrembo wa ku-spend moments nae. Karibu.

    VIGEZO: Asizidi 40. Asiwe mke wa mtu. Asiwe askari/mjeda, etc Makebo makubwa au madogo sijali, cha msingi awe cha utundu kitandani
  6. stephenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya tonsils sugu bila kufanyiwa operation

    Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya. Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena. Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils. Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo...
  7. Samyjk

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Hello. Kwa anae hitaji mtu mzuru wa mauzo. +255745623885
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, napatikana Kahama

    WanaJF habari za majukumu wadau naomba Kwa yoyote atakayeguswa anisaidie mchongo wa nafasi ya kazi yoyote Hali. Nipo Kahama Shinyanga 0664984110
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  10. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

    Habari wakuu, Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja. Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora. Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure. Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
  11. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke maridadi

    Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto. NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
  12. Holota

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebana wakuu, natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wakuu, Naomba msaada wa connection ya kazi yoyote halali, hasa kwenye viwanda, maghala, site za miradi au sehemu yoyote yenye uhitaji wa wafanyakazi. Nina Degree ya Finance lakini imekuwa ngumu kupata nafasi ya kazi ya fani yangu, hivyo kwa sasa niko tayari kufanya kazi yoyote ya halali...
  13. Eswa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saidia fundi

    Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
  15. American nigga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kunguru! tsh 7000 kwa kila mmoja

    Kama kichwa kinavyojieleza natafuta kunguru mzima, kama upo dar es salam wasiliana nami. dm ahsanteni.
  16. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  17. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Natafuta tretka right hand drive

    Kwema wanajamvi! Ebana watu wangu natafuta kununua trekta right hand drive (RHD) na yenye airbags. Huu msimu wa masika umefanya vizuri sitaki unipite kizembe kwenye kilimo. Please kama unafahamu nijulishe. Nahitaji sana. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa. adriz de mbusii
  18. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari, jaman natafuta kaz hata ya uwakala, au dukani, nimechoka mimi.. naishi Sinza, Dar es salaam
  19. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, usimuamshe aliyelala, utalala wewe

    Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha vijana wajinga wa kitanzania... na hilo ni jambo jema kabisa na la kuuungwa mkono Lakini, je hao vijana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari za wakati huu.... Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake.. Mimi ni kijana mwenye miaka 28...
Back
Top Bottom