zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 523
- 927
Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha vijana wajinga wa kitanzania... na hilo ni jambo jema kabisa na la kuuungwa mkono
Lakini, je hao vijana ambao wanapiganiwa wanaelewa na kushukuru na kuthamini juhudi hizi za natafuta ajira? ana moyo mkubwa mno wa kutoa ushauri kwa vijana na mapenzi mema kwa vijana wa taifa lake.
Natafuta ajira... kwanza kwenye hii mission yako ambayo ni njema kabisa, tambua status ya vijana wa taifa lako la tanzania ambao unawapigania dhidi ya uonevu wa ndoa. unaona muelekeo kutoka kwao?
Mimi kwa akili ndogo naona vijana na watanzania walio wengi kwa ujumla hawana shukrani, kwa asababu ya ujinga. na niwajinga kwa sababu hawapendi kujielimisha..
Mfano ni mdogo tu... hebu hapo mtaani pako jaribu kuchunguza, reaction ya vijana hata watatu au wanne ipoje kwa yule mtetezi mkubwa wa maslahi ya taifa hili yaani TAL? yote aliyojitolea leo hii watz wamesahahu na kumsahau to this level? hili ni funzo...
Tuache hayo.. mimi binafsi niliwahi kuwa blocked kwa miaka 3 mfululizo kwa sababu tu ya kumshauri dogo fulani asikurupuke kuoa bila kumfanyia vetting huyo so called his gf...
akaonesha kunielewa at first ila baadaye alipomuoa tu akani block...
Sikujua shida nini kwa sababu huo ushauri ni yeye ndiye alinifuata kuuomba.
Kwa nia njema nami nikamshauri'
matokeoa yake akani block... akakata mawasiliano na mimi kabisa.
Sasa baada ya miaka 3 wameachana akani unblock na kuanza kuomba appointment na mimi akionesha kujuta.
Mimi nimemfungia vioo, sijajibu text wala call.
so natafuta ajira, tathimini sana hao vijana unaojaribu kuwa unleash kutoka usingizini.. kama unafanya kwa moyo na upo tayari kwa matokeo yoyote yakukuumiza, its ok..
ila kama ni otherwise, jaribu kuwaza a metre again forward.
ahsanteni nyote